TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, May 23, 2016

WAZIRI NCHEMBA ATUMBUA MAJIPU JIMBONI KWAKE AVUNJA BODI YA MAJI ILIYOFANYA UFISADI WA MAMILIONI YA SHILINGI MRADI WA MAJI









Akijibu tuhuma hizo mbele ya waziri Nchemba afisa mtendaji wa kijiji cha Mingella Bw Said Mussa alisema kuwa ni kweli walikusanya milioni 9.4 za mradi huo wa maji na fundi kutoka mjini Iramba anahitaji milioni 2 kwa ajili ya kutengeneza mashine hiyo ila kiasi cha pesa kilichopo benki ya Tsh 400,000 pekee hivyo hawana uwezo wa kulipia gharama za fundi.Alisema kuwa kwa upande wake hajui mhusika halisi wa ufisadi huo lakini kwa kuwa waziri amesimamisha kazi wote basi itasaidia kumpata mhusika

No comments:

Post a Comment