Balozi wa PEPSI TANZANIA- Juma Kaseja, Muda mfupi baada ya kuwasili jijini Mwanza kushuhudia Fainali hizo za Kwanza za Kombe la Pepsi Mayor's Cup. wengine ni wafanyakazi wa kampuni hiyo.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).
Mfungaji Bora wa Michuano ya Pepsi Mayor's Cup, Godfrey Gerald, akionyesha Zawadi ya Tuzo ya Dhahabu.
Vijana wakazi wa jiji la Mwanza wakifuatilia kwa Makini Semina ya Mafunzo kutoka kwa wakufunzi wa DUME- kuhusiana na Matumizi bora ya kutumia Kinga(DUME Kondom) wakati wa Tendo la Ndoa(Ngono Salama).
Wachezaji wa Timu za Mpira wa Miguu(Soka) Timu zilizoshiriki michuano hiyo, wakifuatilia kwa Makini Semina ya Mafunzo kutoka kwa
wakufunzi wa DUME- kuhusiana na Matumizi bora ya kutumia Kinga(DUME
Kondom) wakati wa Tendo la Ndoa(Ngono Salama).
Baadhi ya Wachezaji wa Timu katika Michuano hiyo, wakijiandikisha majina yao kabla ya kuingia uwanjani
Wachezaji wa Timu za Mpira wa Miguu(Soka) Timu zilizoshiriki michuano hiyo, wakifuatilia kwa Makini Semina ya Mafunzo kutoka kwa
wakufunzi wa DUME- kuhusiana na Matumizi bora ya kutumia Kinga(DUME
Kondom) wakati wa Tendo la Ndoa(Ngono Salama).
Baadhi ya Timu Shiriki
Wachezaji wa Timu za Mpira wa Miguu(Soka) Polisi, Timu zilizoshiriki michuano hiyo, wakifuatilia kwa Makini Semina ya Mafunzo kutoka kwa
wakufunzi wa DUME- kuhusiana na Matumizi bora ya kutumia Kinga(DUME
Kondom) wakati wa Tendo la Ndoa(Ngono Salama).
Wachezaji wa Timu za Mpira wa Miguu(Soka) Timu zilizoshiriki michuano hiyo, wakifuatilia kwa Makini Semina ya Mafunzo kutoka kwa
wakufunzi wa DUME- kuhusiana na Matumizi bora ya kutumia Kinga(DUME
Kondom) wakati wa Tendo la Ndoa(Ngono Salama).
Mayor wa Nyamagana Mwanza, Stanlaus Mabula wa Pili Kulia, akionyesha Moja ya Zawadi za Wadhamini wa Fainali hizo
Wachezaji wa
Timu za Mpira wa Miguu(Soka) Timu zilizoshiriki michuano hiyo,
wakifuatilia kwa Makini Semina ya Mafunzo kutoka kwa
wakufunzi wa DUME- kuhusiana na Matumizi bora ya kutumia Kinga(DUME
Kondom) wakati wa Tendo la Ndoa(Ngono Salama).
Wapenzi na Mashabiki wa Timu ya Bingwa wa Fainali hizo, ISAMILO, wakiwasili kwenye Uwanja huo
No comments:
Post a Comment