Mzee Simba (ambaye amerekodi kama Mwizi wa Kuku, akiburutwa na Wananchi wenye Asira Kali baada ya Kuitiwa Kelele za Mwizi, pichani wananchi wakijadiliana kuhusu hukumu yake.
Mwizi wa Kuku Mzee Shaaban Simba (Pichani akiigiza kama mtu aliyeitiwa kuuba kuku kisha kupigwa na wananchi wenye Asira Kali
Wananchi wakimpeleka Mwizi wa KUKU katika Kituo cha Polisi
Msanii wa Filamu hiyo, Marry Williums Mihayo, Happy Mashagal, Allan Kisandura, Washiriki wa Kundi hilo wakipozi baada ya kumaliza kurekodi baadhi ya Sehemu ya Filamu hiyo
Wasanii Angel Pasical(kushoto), Silver Williums, Haeshi Musa, wakiwa katika harakati za maisha kila siku, ni baadhi ya wasanii wa kundi hilo katika kuonyesha maisha wanayoishi baadhi ya wakazi wa Tanzania, Hapa inaonekana jinsi maji yalivyo na taabu kupatikana.
Mwongozaji wa Filamu Fredy Libaba, akitoa maelekezo kabla ya kuanza kurekodi
Mzee Simba akiwa kakalishwa chini ya Ulinzi baada ya kukamatwa kwa Tuhuma za Kuiba Kuku
Hapa Mzee Simba akipewa kipigo na wananchi wenye asira kali
Wasanii Edwini Basi, Marry Williums, Silver Williams, Baadhi ya Wasanii wa Kisasa wakimfukuza Mwizi wa Kuku
Msanii wa Kundi hilo Marry Mtipura wa pili kulia, na Baadhi ya Waigizaji wa Filamu hiyo wakiwa katika harakati za kurekodi
Msanii wa kundi hilo Shaaban Simba, akipigwa na wakazi wa Maeneo hao wakimpiga baada ya kuiba kuku katika moja ya Sehemu zilizopo katika Mkanda huo wa Kusisimua.
Mkufunzi wa na Mtunzi wa Filamu hiyo, Nyakasagani Masenza, akitoa Maelekezo kuhusu sehemu zinazorekodiwa.
Washiriki wa Filamu hiyo wakiwa katika Mazungumzo
Washiriki wa Filamu hiyo wakimfukuza Mwizi(Hayupo pichani)
Msanii Shaaban Simba, akiwa Chini ya Ulinzi baada ya kukamatwa kwa kuiba kuku.
Kikundi cha Sanaa (Waigizaji wa Filamu) wa kundi la Kisasa Arts Group cha Keko Jijini Dar es Salaam, wakiwa katika harakati za Kufanikisha Filamu ambayo imerekodiwa hapa hapa Tanzania, katika Maeneo mbalimbali. hapa ni kati ya Vipande Vilivyopo katika Mkanda huo, Baadhi ya Washiriki wakimwadabisha Mtu ambaye anasadikiwa kuiba Kuku katika Maeneo ya Mbagala Kokoto. kwa habari zaidi tembelea mtandao huu. www.shaabanmpalule.blogspot.com.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).
No comments:
Post a Comment