TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, June 3, 2013

MAANDALIZI YA TIMU YA UMISHUMITA TARAFA YA DODOMA MJINI INAENDELEA VIZURI KATIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

Wanafunzi Mbalimbali wa shule za Msingi wakiwa katika mazoezi ya timu hiyo

Wanafunzi wa Shule za Msingi Dodoma AGNES LINUS na Amina juma, wakichuana wakati wa Maandalizi hayo




Mkufunzi wa Timu ya Umitashumita tarafa ya dodoma mjini, Thobias Liamba, akiwa na Wanamichezo wa Timu hiyo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.

Kikosi cha Timu ya Umitashumita kwa Upande wa Hand Ball, katika Picha ya Pamoja.

Mkufunzi wa Mchezo wa Kurusha Tufe, Mwalimu Ivan Ryoka, akitoa maelekezo kwa mchezaji Makambi Daudi, wakati wa maandalizi ya timu hiyo katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Makambi Daudi akijiandaa kurusha Tufe
Mchezaji wa Subira Kiyami, kwa Upande wa Wanawake akijiandaa kurusha tufe wakati wa mafunzo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

PEPSI YANOGESHA MISS INTER CITY COLLEGE MJINI DODOMA 2013



 





 Mkali wa Muziki wa Kizazi Kipya, Roma Mkatoliki, akinogesha katika Onyesho hilo




Washiriki wa Miss Inter College 2013-Dodoma, wakionyesha Umahili wao katika kucheza ngoma(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)

MAKAO MAKUU YA TANZANIA-MJI MKUU-DODMA-KATIKA MUONEKANO MPYA WA BARABARA.



Katika Miaka ya Nyuma Mkoa wa Dodoma, ambao ndio Mji Mkuu wa Tanzania, ulikuwa ukishangaza sana kutokana na Uchakavu wa Mitaa ya Barabara zinazoingia na kutoka kutokana na ukosefu wa lami, tofauti kabisa na Miaka hii kuanzia mwaka jana, ujenzi ambao umefanyika kwa haraka tpfauti na matarajio ya wengi, ikiwa ni kutokana na Juhudi za Waziri mwenye dhamana ya Barabara, Dkt, John Pombe Magufuli (Mb), ivi sasa Mji wa Dodoma pamoja na kwamba bado unaendelea kusua sua katika Uboreshaji wa Majengo yaliyopo Mjini lakini kwa asilimia kubwa tayari umeanza kuwa na sura ya tofauti yenye kupendeza na hata kustahili kuwa mji mkuu wa Tanzania. hata hivyo imechangiwa na uwepo wa Vyuo Vikuu Vingi ambavyo vimejengwa ikiwamo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha (UDOM). Ongera sana Utawala wa Awamu ya Nne wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

ZIARA YA MABALOZI WA DEMOKRASIA TANZANIA KUTOKA CHUO CHA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE-KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.


















 
Picha zote ni ziara ya Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College(DACICO) Wakati walipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 31/5/2013(Picha Zote  kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

MATUKIO MPAMBANO WA TIMU ZA WABUNGE( BUNGE FC) VS NSSF MEDIA CUP-DODOMA

 Wachezaji wa Timu za Wabunge na wachezaji wa timu ya NSSF Media Cup katika picha ya Pamoja
 Kikosi cha wachezaji wa NSSF Media Cup
 Kikosi cha Wachezaji wa Timu ya Bunge
 Mkurugenzi wa NSSF Ramadhan Dau, akisalimiana na Mchezaji wa Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, Maulid Baraka Kitenge, wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
 Mgeni Rasmi katika mpambano wa Timu ya Wabunge dhidi ya Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jobu Ndigae, akimkabidhi Zawadi ya kikombe katika mpambano huo, Majuto Omari wa NSSF Media Cup, katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.(Kushoto ni Mkurugenzi wa NSSF Ramadhani Dau).(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
 Kikosi cha NSSF Media Cup katika Pozi
 Wachezaji wa Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, wakishangilia
 Mkurugenzi wa NSSF Ramadhani Dau, akishangilia na wachezaji wa Timu za Kombaini za NSSF kwa wanaume na wanawake
Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, wanawake wakishangilia katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma, (Picha zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).