- HISTORIA
- VIJANA WASHAURIWA MBINU ZA KUJIAJIRI
- TRENI YA MWAKYEMBE YAPATA AJALI
- UVCCM WAKIKOSOA CHAMA CHAO CCM
- GARI LAUA PAPO HAPO
- WATANZANIA ONGEZENI UBUNIFU - MSWATI III
- TRA YAWAKUMBUSHA WALIPA KODI WAJIBU WAO
- WANAFUNZI WAOMBEWA UJUZI KWA WAAJIRI
- TAPELI AWACHIMBISHA KABURI WATU, AIBA
- SERIKALI YADHAMIRIA KUISIMAMIA KCBL
- MADIWANI BUMBULI WATAKA SHULE MPYA KUSAJILIWA
TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, July 3, 2013
•Msafara wa Rais Obama magari 33, Dar yazizima
Tuesday, July 2, 2013
Sabrina Minja afanikiwa kutwaa nafasi ya Tatu Miss Inter University Dar es Salaam 2013 Sansiro.
![]() |
| Mshindi wa Tatu Miss Inter University Dar es Salaam, Sabrina Minja akipita jukwaani katika Miondoko maringo. |
![]() |
| Washiriki wa Miss Inter University Dar es Salaam wakicheza Ngoma katika Ufunguzi wa Mashindano |
![]() |
| Washiriki wa Miss Inter University Dar es Salaam wakiwa katika Mavazi ya Kuogelea(Ufukweni) |
Washiriki Miss Inter University Dar es Salaam katika Moja ya Mavazi wakati wa Mashindano
![]() |
| Washindi wa Miss Inter University Dar es Salaam katika Pozi (Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania). |
TWANGA PEPETA AINA MPINZANI- YAKUSANYA NYOMI KUTOKA KILA KONA HADI WATOTO.
| Mashabiki wa Aina Zote waliweza kufungaa na kujaa ndani ya Leadars Club |
| Baadhi ya Wanenguaji wa Twanga wakipozi baada ya kuteremka jukwaani |
| Wanamuziki wa Twanga Pepeta wakiendelea kupagawisha mashabiki |
| Kundi zima la Twanga Pepeta wakijiandaa kukata Keki jukwaani |
| Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, ambao walifurika kushuhudia Uzinduzi wa Twanga Pepeta jumapili leadars club. |

| Shabiki na mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, ambae alifika kushuhudia Uzinduzi wa Twanga Pepeta jumapili leadars club. |
Twanga Pepeta ikiwa inaburudisha jukwaani
Wapenzi wa Twanga pepeta wakiendelea kufurahia uzinduzi
Pamoja na yote hawa pia walikuwa wakiendelea kufurahia Uzinduzi na Watoto wao Mikononi, kitendo hiki si ungwana maana watoto na majukwaa wapi na wapi.
Shabiki akiwa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta
| Shabiki akiwa kapagawa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta |
| Shabiki akiwa kazimika kabisa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta |
| Mashabiki wakiwa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania). |
Friday, June 28, 2013
MASHABIKI SIMBA WAJAZANA KUISHUHUDIA TIMU YAO KINESI DAR ES SALAAM.
Mashabiki wa Timu ya Soka ya Simba ya Jijini Dar es Salaam, wakifuatilia
kwa Makini Mazoezi ya Timu hiyo wakati wa Usaili wa Wachezi na
Maandalizi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara katika Uwanja wa Kinesi Dar es
Salaam

Basi la abiria Daladala linalofanya kazi ya Usafirishaji Ubungo Mbezi,
likiwa katika hali ya kusababisha msongamano wa magari eneo la Kimara
kutokana na Kuishiwa Mafuta wakiwa katika mzunguko wa kusafirisha abiri,
kitendo ambacho pia kilikuwa kero kwa abiria waliokuwa wakiwahi
makazini, hali ambayo pia usababisha Ajali kutokana na kuharibikia
katikati ya barabara.
Washiriki wa Mashindano ya Miss Inter University Dar es Salaam, wakiwa
katika mazoezi ya katika Ukumbi wa Sansiro Dar es Salaam leo kujiwinda
na Onyesho litakalofanyika kesho(Leo) katika Ukumbi huo wa Sansiro,
washindi wataungana na washindi wa kanda zingine kuunda kikosi cha
Tanzania katika mashindano ya Vyuo Vikuu Tanzania(Tanzania ambassador of
Democracy 2013)
Wachezaji wa Timu ya Soka ya Simba wakipanga mipira katika Moja ya Mazoezi
ya Kupiga Mashuti, kwenye mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Kinesi Dar es Salaam leo
Wachezaji wa Timu ya Soka ya Simba wakipanga mipira katika Moja ya Mazoezi
ya Kupiga Mashuti, kwenye mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Kinesi Dar es Salaam leo
Washiriki wa Mashindano ya Miss Inter University Dar es Salaam, wakiwa
katika Pozi wakati wa mazoezi katika Ukumbi wa Sansiro Dar es Salaam leo kujiwinda
na Onyesho litakalofanyika june 29 katika Ukumbi huo wa Sansiro,
washindi wataungana na washindi wa kanda zingine kuunda kikosi cha
Tanzania katika mashindano ya Vyuo Vikuu Tanzania(Tanzania ambassador of
Democracy 2013).
Wednesday, June 26, 2013
Club Sansiro kukamata Inter city jumamosi 29 mwezi huu
Club Sansiro imeandaa Onyesho la Urembo Miss Inter university 2013 itakayofanyika katika Ukumbi wa Sansiro kuanzia majira ya saa mbili Usiku na kuendelea, Shindano hili la Vyuo Vikuu ni Mwendelezo wa Mashindano mengine ambayo tayari yamefanyika katika mijin ya Dodoma na Mwanza mapema mwishoni mwa Mwezi May.
Akizungumzia Maandalizi Mwandaaji wa Mkoa wa Dar es Salaam, Fredy Kimiti amesema kwamba shindano hili katika mkoa wa Dar ni changamoto ambayo itaanza mapema kwa wanafunzi wa Vyuo vya jiji la Dar es Salaam kushindana katika Mbio(Riadha) kwa wanaume na wanawake.
na kwamba mashindano kwa upande wa Riadha yataanza Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kuelekea Leaders Club ambako pia kutakuwapo na Changamoto ingine ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Kutimuana katika Mchezo wa Mpira wa MIGUU.
Washindi wote katika Sanaa hizo wataungana na Washindi wengine kutoka kanda zote za Tanzania katika kinyang'anyiro cha kuwasaka washindi wa Taifa wa Vyuo Vikuu katika Riadha, Soka na Urembo.

MASHAUZI CLASSIC KUIZINDUA NAWINA RESORT MBAGALA KUU
Bendi ya Mashauzi Classic chini ya I sha
Mashauzi imeandaa Uzinduzi Rasmi wa Ukumbi wa Nawina Resort Mbagala kuu
baada ya Matengenezo kutokana na ajali ya moto iliyotokea mwanzoni
mwa
mwaka huu.
akizungumzia
Uzinduzi huo mkurugenzi wa Nawina Resort Marry Komba, amesema kwamba
Matayarisho yamekamilika na Tayari Isha Mashauzi na Kundi lake
wamekamilisha taratibu zote kuhusiana na Onyesho hilo la Uzinduzi siku
ya jumamosi tarehe 29 mwezi huu.
"Kikubwa
ninamshukuru Mungu kwa kuwezesha kukamilika kwa Ukumbi huu wa Nawina
Resort, kama unavyojulikana ukumbi huu na wakazi wengi wa Mbagala Kuu,
ndiyo pekee uliokuwa ukiwapatia burudani mbalimbali wakazi wa maeneo
haya a Vitongoji vyake vyote, kwa hiyo nawaomba wakazi wa mbagala Kuu
waendelee kuunga mkono juhudi hizi ambazo ni kiburudisho kwao, nachukua
fulsa hii kuwakaribisha sana siku ya Ufunguzi ili waweze kufika
kushuhudia Nawina Mpya chini ya Mashauzi Classic" alisema Marry Komba
Awali
kabla ukumbi wa Nawina Resort aujaungua Moto, ulikuwa ni kati ya Miimili
ya Burudani iliyokuwa ikiwapa raha wakazi mbalimbali wa Mbagala, ikiwa
ni pamoja na Miziki ya Kizazi kipya, Miziki ya Bendi, Taarabu na hata
vikundi vya Sanaa kutoka kwa wasanii mbalimbali hapa nchini.
kwa
Upande wake Isha Ramadhani maaufu kama Isha Mashauzi amesema kwamba
wamejipanga kufanya Onyesho kali na la kusisimua ambapo wakazi wa
Mbagala Kuu na Vitongoji vyake wafike ili waweze kufurahia Burudani
kutoka katika kundi lake," Nimejipanga vizuri kuhakikisha wakazi na
wapenzi wangu tunafanya kitu kipya na siku hiyo nitawapa pia vitu vipya
kwa kuwa ni siku ya Ufunguzi wa Ukumbi Mpya, maana hivi sasa Nawina ni
mpya kwa hiyo tutaingia na nyimbo zingine mpya ambazo ni burudani ya
kupendeza" alisema Isha Mashauzi
katika
onyesho hilo ambalo linatarajia kuanza majira ya saa mbili za Usiku ,
kiingilia kimewekwa cha kuridhisha ili kuwafanya wakazi wote wa mbagala
kufika ili kupata burudani wakiwa nafamilia zao kwa shilingi 5000 tu.
Kuhusiana
na Ulnzi wa mali za wote watakaofika, Usalama wa vyombo vya Usafiri ,
mkurugenzi wa Nawina Resort Marr Komba alisema kuwa ulinzi ni wa
kutosha kwa wote watakaofika siku hiyo.
Monday, June 24, 2013
Mechi Dhidi Ya Ivory Coast Yaingiza Mil 500/-
Mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia, Kundi C, Kanda ya Afrika kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Ivory Coast (The Elephants) iliyochezwa jana (Juni 16 mwaka huu) imeingiza sh. 502,131,000 kutokana na watazamaji 57,203.
Tiketi za kushuhudia mechi hiyo ziliuzwa kwa sh. 5,000, sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 15,000, sh. 20,000 na sh. 30,000.
Mgawanyo wa mapato hayo ulikuwa kama ifuatavyo; asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ni sh. 76,596,254.24 wakati wa gharama za uchapaji tiketi ni sh. 7,809,104.
Asilimia 15 ya uwanja sh. 62,658,846.26, asilimia 20 ya gharama za mechi sh. 83,545,128.35 na asilimia 5 ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) sh. 20,886,282.09.
Asilimia 60 ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sh. 250,635,385.06 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 12,531,769.25 ambayo ni asilimia 5 kutoka kwenye mgawo wa TFF.
Mechi iliyopita ya Stars dhidi ya Morocco (Lions of the Atlas) kwenye uwanja huo iliingiza sh. 226,546,000.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)