TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, August 12, 2013

MASHINDANO YA MIJADALA YA SHULE ZA SEKONDARI MWANZA KUANZA SEPT. 2.

Mkurugenzi wa Stopper Entertainment,  Mukhsin Mambo, akifafanua  jambo  kuhusiana na Mashindano ya Shule za Sekondari(Interschools Debate Compatations)
 Mwalimu wa Shule ya Bwiru Boys, George George, akichangia jambo wakati wa Semina ya Walimu wa Shule za Sekondari..
 Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kitangiri ya jijini Mwanza, Luciana Ududa, akichangia jambo wakati wa Mafunzo hayo
 Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Nyabulogoya ya jijini Mwanza, Witness Mbogora, akichangia jambo wakati wa Mafunzo hayo
Baadhi ya Walimu wa Shule za Sekondari waliofanikiwa kuhudhuria Seminja hiyo katika Ukumbi wa Kimataifa wa JB. Bellemonte Hoteli jijini Mwanza leo.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).
===================================================
Mashindano ya Mijadala kwa shule za sekondari mkoani Mwanza (Interschools Debate Competition), yanatarajiwa kuanza septemba 02 mwaka huu.
Akizungumza katika semina elekezi, iliyowakutanisha baadhi ya walimu wa mijadala kutoka katika  shule mbalimbali za sekondari mkoani Mwanza, mkurugenzi wa Stoppers Entertainment ambao ndio waandaji wa shindano hilo, Bwana Mukhsin Mambo, amesema jumla ya shule 32 kutoka mkoani Mwanza, zitashiriki katika shindano hilo ambalo ni la kwanza kufanyika mkoani humo na Tanzania kwa ujumla.
Mambo, amesema shindano hilo pia litaonyeshwa kwenye moja ya runinga hapa nchini kuwapa fursa watazamaji kushuhudia vipaji vya wanafunzi katika kujieleza mbele ya jamii.
Amesema nia na madhumuni ya shjindano hilo, mbali na kuondoka na kitita cha zawadi kwa washindi lakini pia ni njia mojawapo ya kuinua kiwango cha elimu hapa nchini kwa wanafunzi kupata nafasi ya kujieleza mbele za watu, kufanya utafiti kutokana na mada itakayowekwa mezani, kuweka mahusiano mema dhidi ya wanafunzi na kujenga kizazi kipya katika nyanja ya elimu kupitia mfumo wa mijadala.
Miongoni mwa shule zitakazoshiriki shindano hilo ni pamojana Nsumba sekondari, Nganza Sekondari, Butimba sekondari, St. Joseph Girls Sekondari, Buswelu Sekondari, New Hellen Sekondari, Hill crest Sekondari, Bismark Sekondari.

Sunday, August 11, 2013

Pepsi Mayors Cup Mwanza- yatingisha wakazi wa jiji la mwanza.

 Moja ya Mabango ya Barabarani katika kuhamasisha michuano hiyo
 Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya jiji la Mwanza, Jose Mlinzi, katika pilika za maandalizi.
 Mkurugenzi wa My Way Entertainment, waandaaji wa Michuano ya Pepsi Mayors Cup, Paul Siboka, katikati, akiwa na baadhi ya Viongozi wa Pepsi katika kupanga Fainali ya Michuano hiyo katika Uwanja wa Nyamagana Mwanza.
 Mkurugenzi wa My Way Entertainment, waandaaji wa Michuano ya Pepsi Mayors Cup, Paul Siboka, na msaidizi wa Masoko wa Pepsi Taki, wakipanga mipango ya Tamasha hilo.
 Moja ya wadhamini wa Pepsi Mayors  Cup, na Wakuu wa Idara ya DUME Condom, wakiweka sawa maandalizi ya Fainali hiyo.
 Afisa Masoko wa Kampuni ya Pepsi, Taki akiwasiliana na Wakuu wa Idara Makao Makuu kuhusu ujio wa Mchezaji na Balozi wa Pepsi, Juma kaseja ambaye alitakiwa kuwasili mjini mwanza kwa ajili ya kukabidhi zawadi za washindi.
 Balozi wa Pepsi Tanzania, Juma Kaseja, akionekana mwenye furaha baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Mwanza.
 Balozi wa Pepsi Tanzania, Juma Kaseja,muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa mwanza.
 Juma kaseja na Kala Jelemia, ambao walikuwa wameharikwa katika Fainali hizo
 Hapa wakiwa katika Msafara kutoka uwanja wa ndege
Moja ya wadhamini wa Onyesho na Fainali hizo, DUME, wakiwa katika Maonyesho hayo
.(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

Friday, August 9, 2013

Shamra shamra za IDD 2013 Mikumi Morogoro

 Watoto wakazi wa mji wa Mikumi Morogoro, wakifiurahia Sikukuu ya Idd  jana
Kilima Kitonga Barabara ya Iringa na maangaiko kwa Madereva, wakipishana kwa Taabu

TAMASHA LA DEMOKRASIA TANZANIA MAANDALIZI YANAENDELEA DAR,MWANZA, ARUSHA , MBEYA NA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la Demokrasia Tanzania 2013- Athony Adam
Baadhi ya washiriki katika fani ya Urembo, Miss Demokrasia Tanzania-Dar es Salaam 2013, Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA
JENGO LA MAKAO MAKUU YA MISS DEMOKRASIA TANZANIA- DAR ES SALAAM

FAINALI YA PEPSI MAYOR'S CUP MWANZA 2013 NDANI YA NYAGANI 10/8/2013 MAANDALIZI YAMEKAMILIKA.


 ,Mwezeshaji wa TMARC ,Said Salum, akitoa maelekezo ya matumizi sahihi ya DUME  Kondom 2013 MWANZA PEPSI MAYOR'S CUP
 Muelimishaji wa TMARC Mr. Suleiman  akitoa maelekezo ya matumizi sahihi ya DUME  Kondom 2013 MWANZA PEPSI MAYOR'S CUP.
Mwezeshaji wa TMARC , Mr. Marc  Boniface akitoa maelekezo ya matumizi sahihi ya DUME  Kondom 2013 MWANZA PEPSI MAYOR'S CUP.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania),

Thursday, August 1, 2013

TUKIO LA MAUAJI YA KUTISHA DAR ES SAALAM 31/7/2013

NAOMBA SAMAHANI KWA WOTE MTAKAOITAZAMA HII PICHA. ISIPOKUWA IMENILAZIMU KUWAWEKEA ILI KAMA KUNA NDUGU YAKE AWEZE KUJITOKEZA NA KUTAMBUA SEHEMU MWILI WA NDUGU YAO UMELAZWA.
HUYU MTU INASADIKIWA KUFANYIWA UKATILI WA KUMWAGIWA TINDI KALI MWILI MZIMA KISHA KUMTUPA KATIKA VICHAKA VYA KIBAMBA HOSPITALI NA MAKONDEKO JIJINI DAR ES SALAAM, JE HUU NI UNYAMA GANI HATA SASA TANZANIA TUMEKENGEUKA NA KUIGA MILA ZA MATAIFA YA WENGINE AMBAO KUUWANA KWAO SI JAMBO GUMU, IVI TATIZO NI UONGOZI, AU FEDHA ? LAKINI KUMBUKA KUWA ILI LEO LINATOKEA KWA HUYU LAKINI IPO SIKU LAWEZA TOKEA HATA KWAKO AMA NDUGU YAKO, KWA HIYO KUNA KILA SABABU YA TAADHALI KWA KILA MMOJA WETU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU UJAO, NA HAYA YOTE YANATOKEA KWA AJILI YA BAADHI YA WATU KUJISAFISHIA NJIA ILI WAPATE NAFASI YA MADARAKA, KWANI NANI KAKWAMBIA KWAMBA SISI TUNAHITAJI UONGOZI WAKO USIOKUWA NA HEKIMA, UPENDO, AMANI, NA MSHIKAMANO? UNATUIJIA HUKIONEKANA KAMA BINADAMU KUMBE MOYONI MWAKO KUNAWAKA TAMAA YA UUWAJI, USHAWISHI UOVU, NA MWIVI, KINACHOKUFANYA UWEZE KUTENDA AMA KUAGIZA MAUAJI YA KIKATILI KAMA HIVI NI NINI? JE NI KWA AJILI YA KUTAFUTA UTUKUFU WA DUNIANI ? JE UNATAZAMIA KUINGIA PEPONI? MAANA UNASALI KILA IJUMAA NA JUMAPILI, INAUMA SANA ILA KUMBUKA UKIUA KWA UPANDA UTAKUFA KWA UPANGA, HATA KAMA KWA TINDI KALI NA WEWE SIKU ITAKUKUTA HIYO HIYO TINDI KALI, FUNGUA HAPA KWA PICHA ZAIDI. 
 Baadhi ya wakazi wa jiji wakijaribu kutambua mwili wa marehemu
 Askari Polisi wapelelezi wakiwa eneo la Tukio
 Wakazi wa jiji wakitafakali jambo

 mwili ukiwa eneo alikotupwa.
 wakazi wakimiminika kutambua mwili
 Eneo hili la Daraja la Kibamba na Makondeko, ambako ndiko tukio hili limefanwa
Poli ambalo ulitupwa mwili wa marehemu

GUMZO LA MAHAFALI YA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE (DACICO) KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM 2013

 Mkurugenzi wa Elimu Wilaya ya Kinondoni, Bw. Edwin Luboha, ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika Mahafali yas 12 ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala DACICO, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha DACICO  Bw. Idrisa Mziray.
  Baadhi ya Walimu wa Chuo cha DACICO wakiwa katika Mahafali
 Kutoka kushoto, Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chuo cha Dacico, Bw. Vedasto Malima, Mgeni Rasmi Godwin Luboha, Mkurugenzi Mkuu wa Chuo, Bw. Idrisa Mziray na Mkuu wa Chuo, Bi. Rehema Komba. wakiwa tayari Kutunuku Astashahada na Shahada kwa wanafunzi walioitimu.
 Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo waliohitimu.
Mwanasheria wa Chuo cha DACICO, Bw. Adolf Kisima(kati), Mshereheshaji ,Gradnes Ikumbo(wa kwanza kushoto) kulia ni baadhi ya Walimu.
 Washereheshaji wa Mahafali Gradness Ikumbo na Obby Malima wakiwa katika Pilika.
 Mgeni Rasmi na Mkurugenzi Mkuu wakiwa Meza Kuu
 Mkuu wa Chuo Bi. Rehema Komba, akifafanua jambo wakati wa Mahafali hayo kwa Mgeni Rasmi.
 Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma wa Chuo cha DACICO, akifafanua jambo.
 Walimu na Washereheshaji wakiwa katika Mapozi wakati wa Mahafali ya 12 Dacico.
 Mkurugenzi wa Mafunzo na Elimu wa Chuo, akitoa taarifa ya Maendeleo ya Chuo kwa Mgeni Rasmi.
 Baadhi ya Walimu
 Mkurugenzi wa Elimu Wilaya ya Kinondoni, Bw. Edwin Luboha, ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika Mahafali yas 12 ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala DACICO, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha DACICO  Bw. Idrisa Mziray.
 Mkuu wa Chuo Bi. Rehema Komba, akifafanua jambo wakati wa Mahafali hayo kwa Mgeni Rasmi.
 Mkuu wa Chuo Tawi la Mbeya,  Bi. Adventine Wigenge,(kulia) akisoma Taarifa juu ya Mafaniko ya Tawi la Mbeya wakati wa Mahafali hayo kwa Mgeni Rasmi.kati ni mkiuu wa chuo cha Dar es Salaam Bi. Rehema Komba, na Mkurugenzi Mkuu Idrisa Mziray.
 Mkuu wa Chuo cha Sumbawanga, Kiteleli kite, akitoa taarifa ya Maendeleo ya Chuo cha Sumbawanga
 Afisa Habari wa Chuo cha DACICO, Kilangi Musiba,kulia) akifuatilia kwa makini  Mahafali hayo, kushoto ni Baadhi ya wageni na wazazi wa Wahitimu.
 Rais wa Chuo cha DACICO, Kisiza Leonard,(kulia) akitoa ufafanuzi na Maendeleo ya Wanafunzi.
 Mkurugenzi Mkuu wa DACICO, akitoa maelezo kuhusiana na Chuo
 Mkurugenzi wa Elimu wilaya Kinondoni, ambaye ndiye Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 12 ya DACICO, Bw. Godwin Luboha, akisema jambo wakati wa Mahafali.
 Rais wa Chuo cha Royola, Geofry Mtenzi, akitoa neno wakato wa Mahafali hayo.
 Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi katika Chuo cha Uandishi DSJ, Junanne Bakana, akitoa neno wakati wa Mahafali.
 Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi katika Chuo cha Uandishi  -TSJ- Baraka Gangata, , akitoa neno wakati wa Mahafali.
Baadhi ya wageni waliofika kushuhudia Mahafali hayo.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).