TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, June 16, 2016

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAELEZA HALI YA ULINZI NA USALAMA KWA MTOTO WA TANZANIA

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KESHO KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE

TANGAZO TOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Watanzania watakiwa kutumia fursa za soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki

TANZANIA MWENYEJI MAADHIMISHO YA 6 WIKI YA MAJI BARANI AFRIKA

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIJIBU MASWALI BUNGENI LEO MJINI DODOMA

PANAFRICAN ENERGY TANZANIA YAKABIDHI MADAWATI 800 KWA WILAYA YA KILWA

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WASHERKEA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA WATOTO WA MAHABUSU YA WATOTO JIJINI DAR LEO.



CAF YAPITISHA MAJINA YA KESSY NA WENZAKE, SASA KUCHEZESHA SHIRIKISJ

kipa Benno David Kakolanya, Hassan Hamisi Ramadhan ‘Kessy’, Vincent Andrew Chikupe na Juma Hassan Mahadhi kucheza Kombe la Shirikisho.
 
Wachezaji hao wameongezwa kwenye kikosi hicho baada ya kusajiliwa Ikiwa ni lengo lao la kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho kimeingia kwenye hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho na wanatarajiwa kuanza kukipiga kwenye mechi ya kwanza ya kundi A dhidi ya Mo Bejala itakayopigwa nchini Afrika Kusini.
 
Yanga kwa sasa wameweka kambi nchini Uturuki pamoja na nyota hao wanne wakiwa tayari wameshaingia kwenye mipango ya Kocha Mkuu Mholanzi Hans Van De Pluijm akisaidiwa na Juma Mwambusi.

Property International Limited Yakabidhi Bayport Hati za Viwanja vya Mradi wa Vikuruti Kibaha Pwani.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAKULIMA (AFP) AZUNGUMZA NA WANDISHI WA HABARI JUU YA HUJUMA ALIYOFANYIWA

 

Baadhi ya wandishi wa Habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AFP) Saidi Sudi hayo pichani katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.


Na Mwandishi wetu –Habari Maelezo Zanzibar Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima ( A.F.P ) Said Suod Said amemshauri Msajili ya vyama vya siasa nchini kwenda kisiwani Pemba kufuatilia hujuma zinazoendea kufanyika kisiwani huko ili kuweza kuzipatia ufumbuzi . Hayo ameyasema huko katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo wakati akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kufanyiwa hujuma katika shamba lakeliliopo Mgelema Wilaya ya Chakechake. Alisema kwamba kuna baadhi ya watu wanafanya vitendo vya hujuma vinanyopelekea vinaashiria uvunjifu wa amani na wananchi kuogopa kuendelea kutoa huduma kisiwani humo. Alieleza kuwa baadhi ya hujuma hizo ni pamoja na kuchomewa moto kwa baadhi ya nyumba na kuharibu mashamba ya wananchi kukatiwa vipando ikiwemo mikarafuu, minazi na mashina ya muhogo hali ambayo inarejesha nyuma maendeleo na kutokukuwa uchumi wa nchi.“Vitendo hivyo vimekithiri watu kisiwani Pemba wamezidi siasa wanaifanya ushindani, watu wanashindana kwa kura sasa wao wanafanya hujuma mimi shamba langu wamenikatia mikarafuu 151 ikiwemo 14 tayari kuzaa, minazi 16 pamoja na mashina 250 yenye thamani ya sh. Milioni 200 inaniuma sana.” Alieleza Mwenyekiti huo. Alifahamisha kuwa siasa sio ugomvi kilichobakia ni kuleta maendelo ya nchi kwani uchaguzi umemalizika serikali tayari ipo madarakani hivyo wananchi wanatakiwa kushirikiana kwa pamoja ili kuweza kudumisha amani na kukuza uchumi wa nchi. Aidha amemuomba Rais wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuzidisha ulinzi kisiwani Pemba kutokana na hujuma zinaendela kufanyika siku hadi siku kisiwani humo ili amani isije ikatoweka nchini. Amewataka Wazanzibar kuendelea kuwa wastahamilivu kutokana na hujuma zinaendelea kufanywa kisiwani huko kwani nchi inafuata sheria hivyo serikali inawajali wananchi wake na waendelee kudumisha amani.

WAZIRI MKUU: KILA MKOA UUNDE KAMATI YA AMANI

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AFUTURISHA DODOMA.

UTOAJI TAAARIFA ZA MADHARA YA DAWA

TCRA KUZIMA SIMU FEKI RASMI LEO

Mkurugenzi Kinondoni amewataka walipa kodi na ushuru kupewa stakabadhi za kielektroniki

TAZAMA KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOFUTURISHA IKULU JIJINI DSM 14 JUNE 2016


Benki ya Exim yaendesha zoezi la uchangiaji damu kuokoa maisha ya watanzania

Wafanyakazi wa benki ya Exim, wateja pamoja na watu wengine Tanzania jana walijotokeza kwa wingi kwenye makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya uchangiaji damu duniani. Akizungumza na waandishi wa habari wakati zoezi hilo likiendelea, Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu kutoka benki hiyo Bw. Frederick Kanga alisema hatua hiyo ni muendelezo tu kwa kuwa kuwa wamekuwa wakifanya hivyo tangu mwaka 2010 na lengo kuu kukabiliana na tatizo upungufu wa damu salama kwenye vituo vya afya hapa nchini. “Mara zote tumekuwa tukijisikia kuwa na furaha ya ajabu inapofika siku kama hii ya leo kwa kuwa tunaamini kwamba tunapata fursa ya kutimiza wajibu wetu kama sehemu ya jamii lakini pia kwa kufanya hivyo tunakuwa tumeshiriki kuokoa maisha ya wenzetu wanaopoteza maisha kwa kukosa damu salama pale wanapoihitaji,’’ alisema. Kauli hiyo ya Bw. Kanga inakwenda sambamba na kauli mbiu ya uchangiaji damu ya mwaka huu inayosema: “Sote tunaunganishwa na damu’’. Kauli mbiu hiyo inalenga kuonyesha namna gani maisha ya watu wenye

OSHA kuja na mbinu mpya za kuwasaidia wafanyakazi