Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika futari aliyoiandaa kwenye
makazi yake mjini Dodoma Juni 15, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa
mkoa wa Dodoma, Alhaj Adam Kimbisa na Wapili kushoto ni Kaimu Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ahmed Said.Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Makamu wa Rais, Muungano na mazingira, January Makamba.
No comments:
Post a Comment