Rais
Mstaafu awamu ya tatu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Benjamin
William Mkapa akikata utepe kuzindua kitabu cha kitabu cha uchumi wa
kisiasa wa madiliko ya Tanzania kijulikanacho kama (political economy of
change in Tanzania) ambacho kina lengo la kukuza uchumi na siasa nchini
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa nane wa kigoda cha Mwalimu Nyerere
uliofanyika jijini Dar es salaam kushoto ni Makamu mkuu wa Chuo Kikuu
Cha Dar es salaam Prof. Rwekaza Mukandala.
No comments:
Post a Comment