Bi.
Rose Lutu Lawa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC
akifafanua jambo kwa Mawakala wa bima ya Ajali na Mali wakati wa
mafunzohayo yaliyofanyika kwenye makao makuu ya shirika la Bima la Taifa
NIC jijini Dar es salaam.Baadhi ya washiriki wakiwa katika mafunzo hayo wakifuatilia kwa makini maelezo ya Bi Rose Lutu Kaimu Mkurugenzi wa NIC.
Mafunzo yakiendelea.Kaimu Mkurugenzi wa MasokoElisante Maleko akimuelekeza jambo kwenye ratiba Bi. Tabu Kingu Kaimu Mhasibu Mkuu wa shirika la Bima la Taifa NIC ambaye pia alikuwa mtoa mada katika mafunzo hayo.Bi. Tabu Kingu Kaimu Mhasibu Mkuu wa shirika la Bima la Taifa NIC ambaye pia alikuwa mtoa mada katika mafunzo hayo akiandika mambo muimu yaliyokuwa yakijadiliwa katika mafunzo hayo.Kaimu Mkurugenzi wa MasokoElisante Maleko kulia akiwa pamoja na baadhi ya wakuu wa vitengo wa shirika hilo wakati mafunzo hayo yakiendelea.

No comments:
Post a Comment