Meneja wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
‘’Simu feki kesho kuzimwa hatutakuwa na mabadiliko ya kuongeza muda au vinginevyo kutokana na elimu iliyotolewa juu simu ya feki ambazo baada soko kushindikana mjini walipeleka vijijini’’amesema Kilaba
No comments:
Post a Comment