Rais  Jakaya Kikwete akielekea Jukwaa kuu mara baada ya kukagua gwaride  katika sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania kwenye uwanja wa Uhuru  huku akiwa ameongoza na na Mkuu wa Majeshi nchini Jenerari Davis  Mwamunyange. 
Rais  Jakaya Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa  maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania kikosi hiki ni cha Jeshi la  Wananchi wanawake 
Rais   Jakaya Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa   maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania kikosi hiki ni cha Jeshi la   Wananchi wanaume. 
Rais jakaya Kikwete akipokea heshima wakati mizinga ikipigwa na jeshi la wananchi kwa heshima ya Rais. 
Hiki  ni kikosi cha Jeshi la wananchi wanamaji kikiwa tayari kutoa heshima  kwa amiri jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tamnzania Dk.  Jakaya Kikwete. 
Rais  Dk. Jakaya Kikwete akipungia mkono wananchi wakati alipowasili kwenye  uwanja wa uhuru kwa ajili ya kuongoza sherehe za miaka 50 ya Tanzania. 


No comments:
Post a Comment