TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, January 22, 2012

Waziri Dkt. Terezya Huvisa afanya mkutano na wakulima bonde la kilombero

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akihutubia wananchi wa kijiji cha Utete Njiwa Jimbo la Ulanga Mashariki Wilaya Ifakara kuhusu Wakulima Waliovamia Mashamba ya Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro(Na: Mpiga Picha Wetu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akimsikiliza Jambo Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Haji Mponda ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki Wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika kijiji cha Lugala kuhusu Mashamba ya wakulima wa Bonde la kilombero Wilayani Ifakara Mkoani Morogoro kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw Francis Miti.(Na: Mpiga Picha Wetu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akitoa Maelekezo kwe Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Ulanga Bw John Makotta kuhusu Mipaka ya Mashamba ya wakulima kwenye Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro jana(Na: Mpiga Picha Wetu)

Waziri Mkuu , mhe. Mizengo Pinda(katikati) akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Maabaraya Ujenzi na Umwagiliaji la Chuo cha ufundi Arusha kabla ya kuwatunuku stashahada mbalimbali za ufundi wahitimu 231 wa chuo cha ATC
Mgeni rasmi katika Mahafali ya Tatu ya Chuo cha Ufundi Arusha, Waziri mkuu Mzengo Pinda akizungumza na wahitimu wa, wageni waalikwa na wanajumuia wa Chuo cha Ufundi
Mkiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akitoa hotuba fupi katika mahafali ya Tatu ya ATC
Baadhi ya Wahitimu wa chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Wakisubiri kutunukiwa Stashahada zao na Mgeni rasmi, Mhe. Mizengo K. Peter Pinda

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa wakati alipokutana na viongozi wa CHADEMA jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam katika muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa Katiba.
(PICHA NA IKULU)
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwa katika mzungumza na viongozi wa CHADEMA.
Rais Dk Jakaya Kikwete akimsikiliza Dk. Wilbroad Slaa wakati alipokutana na viongozi wa CHADEMA jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Kikwete akipokea mapendekezo ya chama cha NCCR-MAGEUZI kuhusu mchakato wa Katiba toka kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mh James Mbatia jana alipokutana na uongozi wa chama hicho Ikulu jijini Dar es salaam. (PICHA IKULU)
Mkuu wa Idara ya Katiba na Sheria wa Chama cha NCCR - Mageuzi, Dk. Sengondo Mvungi akisoma mapendekezo ya chama hicho juu ya mchakato wa katiba
Akiwaaga baada ya picha ya pamoja
Rais Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI Mh James Mbatia

No comments:

Post a Comment