TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, February 25, 2016

MAZISHI YA WAZIRI WA ELIMU WA ZAMANI, ISAELI ELINEWINGA STATEMENT BY HEAD OF UN MISSION IN TANZANIA ON THE OCCASION OF THE 50TH ANNIVERSARY OF UNDP MSAJILI WA HAZINA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA ECO RESIDENCE UNAOJENGWA NA NHC KINONDONI HANANASIFU MICHUANO YA KOMBE LA FA, YANGA YAIPIGISHA KWATA JKT MLALE 2-1 THE ROADSIDE - Kenyan Short Films ALL AFRIKA TRAVEL AND LOGISTICS LLC Msiba Jumuiya ya Watanzania New York, New Jersey na Pennsylvania (NYTC) TANZANIA PRISONS YAIBANIA AZAM KUONGOZA LIGI TUME YA MIPANGO YATEMEBELEA SHIRIKA LA MAENDELEO YA VIWANDA VIDOGOVIDOGO (SIDO) SERIKALI NA AKDN WAJADILIANA KUBORESHA MKATABA WA USHIRIKIANO WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MKALI WA NDONDI THOMAS MASHALI KUTAFUTIWA MBABE PASAKA Kichupa cha leo Alikiba - Lupela (Official Music Video) Mkasi | S15E07 with Flaviana Matata Extended Version PROF. MABARAWA AITAKA KADCO KUONGEZA MAPATO YA SERIKALI MBUNGE WA ISMANI WILIAM LUKUVI ATOA MSAADA WA PESA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO IDODI Sumaye: Ningefuta sheria ya kubadili Katiba MAGAZETI LEO FEB 24, 2016 NGOMA AFRICA BAND NA MZIMU WAO WA MZIKI WA DANSI ! WENYE MVUTO MKUBWA BARANI ULAYA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI, KATIBU MKUU WALA VIAPO KUIONGOZA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA COMMEMORATIONS OF THE 50TH ANNIVERSARY OF THE UNDP WAZIRI KITWANGA, MASAUNI NA WATENDAJI WAKUU JESHI LA MAGEREZA WAPANGA MIKAKATI KULIBORESHA JESHI HILO Happy Birthday Abdallah Mrisho MBUNGE WA SEGEREA AJENGA MADARASA MATANO KATIKA SHULE YA MSINGI KINYEREZI





Marehemu ISAELI ELINEWINGA: 9.5.1931 - 9.2.2016
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Baba Askofu Dkt Fredrick Shoo akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu
 Isaeli Elinewinga wakati wa shughuli ya mazishi iliyofanyika kijiji cha Losaa, Masama Magharibi wilayani Hai.
Waziri Ndalichako akiwa amekaa jirani na mjane wa Marehemu Isaeli Elinewinga na kaka wa marehemu wakifuatilia uwekaji wa mwili wa marehemu katika kaburi.
Familia ya Marehemu Elinewinga
Familia ya Marehemu Elinewinga
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akitoa heshima za mwisho kwa Waziri wa Elimu wa zamani ,Isalia Elinewinga aliyezikwa nyumbani kwake kijiji cha Losaa wilaya ya Hai.
Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe pamoja na mkewe Dkt Lilian Mtei wakiwa katika mazishi ya marehemu Elinewinga.
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi ,Prof Joyce Ndalichako akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala wakiwa katika mazishi ya Marehemu Isalia Elinewinga.nyuma yao ni Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka.
Mkuu wa KKKT , Dkt Fredick Shoo akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Isaeli Elinewinga.


Mmoja wa wajukuu wa Marehemu, Isaeli Elinewinga akiwa ameshikilia picha kubwa ya mpendwa babu yake
Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Isaeli Elinewinga.
Askofu Mstaafu wa KKKT, dayosisi ya Kaskazini Erasto Kweka akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Elinewinga.
Mjane wa Marehemu, Isaeli Elinewinga akisaidiwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe.

Mtoto mkubwa wa marehemu Elinewinga, David Elinewinga akisaidiana na mkewe kuweka shada la maua katika kaburi la baba yao.
Mtoto wa marehemu Elinewinga, Adam Elinewinga akiwa na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi.
Wajukuu wa marehemu, Libby na Nathan, wakiweka shada la maua katika kaburi.
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof Joyce Ndalichako akiweka shada la maua katika kaburi.
Makamau Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Philip Mangula akiweka shada la Maua katika kaburi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makala akiweka shada la maua katika kaburi.
Mbunge wa jimbo la Hai, Freeman Mbowe akiwa na mkewe Dkt Lilian Mtei wakiweka shada la maua katika kaburi.
Mbunge wa Afrika Mashariki Ndelakindo Kessy akiweka shada la maua katika kaburi.
Mtoto wa kwanza wa marehemu Elinewinga, David Elinewinga
Mtoto wa marehemu Elinewinga, Edima Elinewinga (mwenye miwani) pamoja na wifi yake, Hawa Elinewinga
Watoto wa marehemu Elinewinga, Adam na Aika
Prof Ndalichako akizungumza jambo na mjane wa marehemu Elinewinga wakati wa mazishi
Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo akimuelezea marehemu Elinewinga wakati wa shughuli ya mazishi
Baadhi ya waombolezaji
Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Erasto Kweka akizungumza namna alivyomfhamu marehemu.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema akiwa mmoja Freeman Mbowe
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi akitoa salamu za serikali katika mazishi ya marehemu Elinewinga.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Philip Mangula akitoa salamu za Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akimuelezea marehemu namna alivyo mfahamu.
Mbunge wa jimbo la Hai, Freeman Mbowe akizungumza katika mazishi
Mtoto wa Marehemu, Elinewinga, Adam Elinewinga akisoma historia ya marehemu baba yake wakati wa mazishi hayo.
Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo akisalimiana na Waziri Ndelichako.
Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makala
UN Resident Coordinator in Tanzania and UNDP Resident Representative, Mr. Alvaro Rodriguez.

Today marks the 50th Anniversary of the United Nations Development Programme (UNDP). Founded in 1966, UNDP now works in some 170 countries and territories to help eradicate poverty and reduce inequalities and exclusion.
In Tanzania, UNDP support began in May 1978. Since then, UNDP has continued to serve as a critical member of the UN team in the country, which has collectively supported the government in achieving its development agenda through aligning its support specifically to the national development priorities. In addition, UNDP has helped strengthen the government’s capacity to manage and coordinate international development assistance through the development of strategies, action plans and an improved aid management system to facilitate national leadership.
UNDP in particular has supported the development of a national framework for reducing emissions from deforestation and forest degradation, as well as of local capacity to manage forest carbon projects. In addition, UNDP continues to support the government to integrate environment and energy issues into national policy, as well as build local and regional capacity.
Through a UNDP and Global Environment Facility (GEF) initiative some 8,400 households in the northern region of Mwanza were given solar energy systems. Following this success, the Government now requires all local authorities in Tanzania to include solar planning in their budgets, and has removed all taxes and duties on solar energy appliances.
In terms of democratic governance, capacity development has been provided to the National Assembly of the United Republic of Tanzania and to the Zanzibar House of Representatives, thereby ensuring that MPs can better exercise their interrelated functions of law making, oversight and representation of citizens.
UNDP has over the last two decades strengthened the institutional capacity of the Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) and the Zanzibar AIDS Commission (ZAC) to respond to HIV/AIDS and its impact as well as social-economic factors that lead to the epidemic.
Allow me, in this context, to thank our Development Partners and to acknowledge the spirit of active engagement and collaboration which has characterized the process through which our support to Tanzania has progressed. Indeed, I would like to take this opportunity and to renew our readiness to strengthen further the cooperation with all our partners.
Last year, the world seized a unique opportunity to set a transformational global agenda for sustainable development, by reaching global agreements on financing for development, the post-2015 development agenda, and climate change. These 17 new Sustainable Development Goals (SDGs) will continue the journey towards progress for everyone that aims at going even farther to focus the world on ending poverty, hunger and major health problems, among others. I believe we will achieve substantial results by taking on the many interconnected challenges we face together.
UNDP’s new strategy in Tanzania to 2021 builds on an established and strong relationship with the Government of Tanzania over the past three decades. The Country Programme Document (CPD) followed the imperative of national ownership, with our actions firmly determined by country needs and will be delivering on three major pillars: inclusive economic growth, environmental sustainability and inclusive democratic governance. Reaching out to women and youth of this country remains a top priority for UNDP and shall guide our focus and energy.
Going forward, partnerships and co-ordination will be critical, especially through increased engagement with South-South and triangular co-operation; deeper co-operation with emerging partners on shared development priorities; and partnerships with other stakeholders, including regional bodies, civil society organizations, and private sector entities. In doing this we will also seek to support the data revolution necessary to inform policymaking, monitor progress, and enhance accountability.
To celebrate these achievements, on 29 February 2016, we will organize a Youth Symposium, aimed at discussing how to mainstream youth perspectives and youth-related issues in development planning processes. These youth will be the biggest beneficiaries when the SDGs are accomplished. We invite you to reflect on our shared history, and take part in the great work ahead—crafting strategic interventions where development assistance can be most effective.
2
Bw. Lawrence Mafuru Msajili wa Hazina akimsikiliza Violet Mafuwe Msanifu wa majengo kutoka kampuni ya CPI Iternational ambaye pia ni Meneja Mradi wa Eco Residence wakati alipokagua ujenzi wa jengo hilo.
3
Bw. Lawrence Mafuru Msajili wa Hazina akimuuliza jambo Mkurugenzi wa NHC Bw. Nehemia Mchechu mambo mbalimbali kuhusu miradi ya shirika hilo wakati alipokagua ujenzi wa jengo hilo.
4
Bw. Lawrence Mafuru Msajili wa Hazina akisikiliza maelezo ya Mkurugenzi wa NHC Bw. Nehemia Mchechu wakati alipokagua ujenzi wa jengo hilo.
5
Bw. Lawrence Mafuru Msajili wa Hazina akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua ujenzi wa jengo hilo.
6
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya Msajili wa Hazina kukagua mradi huo.
8

Jengo linavyoonekana kwa nje.

Akizungumza na Vyombo vya habari mara baada ya ukaguzi wa jeno hilo Msajiri wa Hazina Bw. Lawrence Mafuru amepongeza uongozi wa NHC kwa kazi kubwa wanayoifanya ambapo wamefanikiwa kujenga majengo yenye tahami ya shilingi Trilioni 3.5 kutoka umiliki wa mwanzo ambapo kulikuwa na majengo yenye thamani ya shilingi trilioni 1.

Mkopo uliotumika kugharamia ujenzi wa majengo hayo mapya kutoka mabenki mbalimbali ni jumla ya shilingi Bilioni 300 ambazo kiasi cha shilingi Bilioni 100 zimeshalipwa tayari katika mabenki hayo na kiasi cha shilingi bilioni 200 zinaendelea kulipwa.

Naye Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu amesema shirika hilo linao mpango mkubwa wa ujenzi wa nyumba 500 za gharama nafuu kwa ajili ya watanzania wenye kipato cha chini ambazo zitaanza kujengwa mwaka huu huko Luguruni wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam. 
Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimtoka beke wa JKT Mlale, Lucas Chapanga katika mchezo wa Kombe la FA uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Yanga ilishinda 2-1. Kwa matokeo hayo Yanga imeingia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo. (Picha na Habari Mseto Blog)
  Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimtoka beke wa JKT Mlale, Lucas Chapanga katika mchezo wa Kombe la FA uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Geofrey Mwashiuya akimtoka Lucas Chapanga.
 Geofrey Mwashiuya akimtoka Lucas Chapanga.
  Geofrey Mwashiuya akimtoka Lucas Chapanga.
Lucas Chapanga akichuana na  Geofrey Mwashiuya.
Salum Telela akichuana na Said Ngapa.

Dear customers,

I have URGENT news to share with you today. We will be picking from your state on the weekend of March 5th 2016. Everything will be loadedon Monday and shipped 🔜.
Question❓
Do you or your friend/relative have anything we can ship ❓ 
We will collect from MA, CT,NY,NJ, PA, DE and DMV.
So if you are ready, let me know asap so I can add you on the list. 
Kindly share your list so I can quote you before we come collect the items. I will also need your pick up address to confirm time and day we can pick.
If you miss this one, my next pick up is tentatively scheduled for April 2nd weekend.

Thank you!

Pio Waricoy
President

Jumuiya ya Watanzania New York, New Jersey na Pennsylvania (NYTC) imepokea habari za msiba ambazo zimethibitishwa na kuruhusiwa kutangazwa na ndugu Michael Chiume kwa niaba ya familia ya Chiume. Dada yetu mpendwa Jessie Chiume hatunaye duniani. Amefariki leo asubuhi kwa kugongwa na gari huko Mount Vernon, NY. Mungu ailaze roho ya dada yetu Jessie mahali pema peponi. Ni wakati mgumu sana kwa familia ya Chiume na sisi wote Watanzania ndugu zake. Habari zaidi za mipango zitatangazwa na jumuiya au familia ya Chiume kadri zitakavyopatikana. 

Mungu ametoa, Mungu ametwaa. 

R.I.P Jessica Chiume. We love you, we will miss you.
Historia bado imeendelea kuitafuna Azam FC kwenye uwanja wa Sokoine baada ya kulazimishwa sare ya bil kufungana dhidi ya wenyeji wa mchezo huo Tanzania Prisons ‘wajelajela’.

Azam haijawahi kushinda mbele ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Sokoine tangu timu hizo zilipoanza kukutana. Mchezo huo umekuja baada ya Azam kutoa kichapo cha bao 3-0 kwa Mbeya City Jumamosi iliyopita kwenye uwanja huohuo wa Sokoine.

Mchezo wa leo ulikuwa ni wa 12 ukizikutanisha Tanzania Prisons dhidi ya Azam kwenye ligi kuu ya Vaodacom Tanzania bara.

Rekodi

Aza FC imefanikiwa kushinda mechi tatu (3) lakini mechi zote hizo imeshinda ikiwa kwenye uwanja wake wa Azam Complex huku ikiwa haijawahi kupata ushindi mbele ya Prisons ikiwa kwenye uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Tanzania Prisons pia imeshinda michezo mitatu dhidi ya Azam FC, miwili kati ya hiyo imeshinda ikiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani Sokoine, Mbeya huku ikiwa imetoka sare kwenye michezo mitatu.

Timu zote zimetoka sare mara sita kati ya michezo 11 waliyokutana kwenye ligi tangu Azam ilipopanda kucheza ligi kuu ya Tanzania, michezo sita iliyobaki kila timu imeshinda michezo mitatu.

Ratiba ya mechi za timu hizo kwenye ligi

Azam FC

March 5, 2016 Azam itakuwa mwenyeji wa Yanga kwenye mchezo wa ligi utakaopigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam huku timu hizo zikiwa zinalingana kwa pointi (45) lakini Yanga ikiwa kileleni mwa lgi kwa tofauti ya magoli ya kufungwa na kufunga.

Tanzani Prisons

Tanzania Prisons watakuwa nyumbani tena kuikaribisha Stand United kwenye uwanja wao wa nyumbani Sokoine March 5, 2016. Prisons imefikisha pointi 32 baada kucheza mechi 20 pointi sawa na Mwadui FC na inaendelea kusalia katika nafasi ya sita.

Msimamo wa ligi baada ya mchezo wa Tanzania Prisons vs Azam (nafasi nane za juu)
Source:Shaffihdaud


 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO), Omar Jumanne Bakari (wa tatu kulia) akitoa maelezo kwa timu ya wataalam kutoka Tume ya Mipango ikiongozwa na Bibi. Florence Mwanri Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kuhusu ufanisi wa mashine ya kutengenezea sabuni katika kiwanda kidogo cha sabuni ambazo soko lake linapatikana jijini Dar es Saalam na mikoa ya jirani.
  
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Florence Mwanri (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Bw. Said Mjuli Mkurugenzi Mtendaji, kuhusu utengenezaji wa batiki katika moja ya viwanda vidogo vinavyofanya kazi chini ya mwamvuli wa SIDO. Wengine pamoja nae ni wataalam kutoka Tume ya Mipango na SIDO.
Kaimu Katibu Mtendaji,  Florence Mwanri pamoja na timu ya maofisa kutoka Tume ya Mipango wakipata maelezo kutoka kwa mtaalamu Bw.George Buchafwe kuhusu utengenezaji wa mazulia kwa kutumia malighafi zinazopatikana hapa nchini.
 Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango  Florence Mwanri,(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Bw. Obedi Sylvester Musiba Mkurugenzi wa kampuni, (wa kwanza kushoto), kuhusu bidhaa wanazotengeneza kutokana na mimea na matunda. Wengine ni Bw. Omar Jumanne Bakari, Mkurugenzi Mkuu SIDO (wa pili kushoto), Bw. Omary Abdallah, Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Mipango na Ufuatiliaji (wa tatu kushoto), pamoja na maofisa kutoka Tume ya Mipango.
 Viongozi na maofisa kutoka Tume ya Mipango wakipata maelezo kutoka kwa Bw. Abdallah Kayumbi (wa kwanza kulia) kuhusu uzalishaji wa vifaa vinavyotumika kuzalisha nishati ya umeme kwa kutumia upepo (wind Turbines).
 Viongozi na maofisa kutoka Tume ya Mipango na SIDO wakiangalia mashine ya kuzalisha nyuzi kwa ajili ya kutengeneza nguo inavyofanya kazi katika kiwanda cha Fruitful Goshen, Matengenezo Textile. 
 Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango,  Florence Mwanri alipata pia fursa ya kutembelea kiwanda cha TEMSO Engineering kinachozalisha vifaa mbalimbali vya ujenzi kama vile mashine za kufyatulia matofali na matoroli (wheelbarrows).
Mkurugenzi Mkuu wa SIDO Omar Jumanne Bakari, (aliyesimama), akitoa maelezo kwa viongozi na maofisa kutoka Tume ya Mipango (waliokaa kushoto) kuhusu SIDO inavyofanya kazi katika kuwasaidia wazawa ili kukuza uwekezaji katika viwanda vidogo vidogo. Waliokaa kulia ni wamiliki wa viwanda vidogovidogo wanaofanya shughuli zao chini ya SIDO. 
Na: Thomas Nyindo.

Tume ya Mipango.
Maafisa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika kikao cha pamoja na Taasisi ya Maendeleo ya Aga Khan (The Aga Khan Development Network- AKDN). Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Joseph Sokoine ambaye alifungua rasmi kikao hicho kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz P. Mlima. Kushoto kwa Balozi Sokoine ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Balozi Baraka H. Luvanda ambaye aliongoza mazungumzo kwa upande wa Serikali ya Tanzania. Kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere kilipitia upya Mkataba wa Ushirikiano wa Kimaendeleo kati ya Serikali na AKDN ambao ulisainiwa mwaka 2001. 
Sehemu nyingine ya wajumbe wa AKDN wakifuatilia kikao. 
Wajumbe wa Serikali ya Tanzania walioshiriki kikao hicho ambapo Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa ilikuwa mwenyeji. Ujumbe wa Serikali ulihusisha Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); Mamlaka ya Mapato Tanzania; Ofisi ya Rais Ikulu; Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Wizara ya Sera na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu; Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. 
Balozi Joseph Sokoine akiagana na wajumbe wa AKDN baada ya kukamilisha zoezi la ufunguzi wa kikao hicho. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkaribisha Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipomtembelea waziri Mkuu ofisini kwake Magogoni Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi 

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiongea na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd alipofika ofisini kwa waziri Mkuu jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi .
Picha na Chris Mfinanga
Posted: 24 Feb 2016 06:20 AM PST
 Bondia Salum Nassoro akipasha na kocha wake, Maneno Abdallah katika gym yao iliyopo Mazense Midizini.

 Promota wa mchezo huo, Haruna Musa katika picha ya pamoja na bondia, Salum Nassoro.


Kampuni ya Dippo Boxing Promotion ya jijini Dar inayoongozwa na promota, Haruna Musa imeandaa pambano la Uzito wa Kati ‘Middle Weight’ kati ya bondia Salum Nassoro wa Dar na Benson Mwakyembe wa Ruvuma mchezo utakaopigwa Siku Kuu ya Pasaka, Machi 28 mwaka huu.

Pambano hilo la kukata na shoka litapigwa kwenye uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma ambapo kwa mujibu wa promota huyo alisema kuwa mshindi wa siku hiyo atazichapa na bingwa wa Afrika  ‘WBF, Thomas Mashali.

Mabondia hao ambao kila mmoja alitamba kumchapa mwenzake, waliwataka mashabiki wa ndondi kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo ili waone ladha ya ndondi ya asili.


kad1
Muonekano wa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa KIA mkoani Kilimanjaro unaojengwa njia za kutua na kuruka ndege na kukarabatiwa jengo la abiria. Ujenzi huo unafanywa na kampuni ya NACO kutoka Uholanzi.
kad2
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa njia ya kuruka na kutua ndege katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa KIA mkoani Kilimanjaro.
kad3
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akielekea kukagua ujenzi wa njia za kuruka na kutua ndege mara baada ya kukagua hanga la uwanja huo. Katikati ni Mkurugenzi wa Via Avaiation Bi. Susan Mashibe ambaye ni Muwekezaji wa Hanga hilo.
kad4
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Via Avaiation Bi. Susan Mashibe ambaye ni Muwekezaji wa Hanga katika Uwanja wa Ndege wa KIA.
kad5
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Arusha, Eng. John Kalupale (wa pili kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) kuhusu ujenzi wa barabara ya Kia-Mererani yenye urefu wa Km 26 unavyoendelea.
kad6
Muonekano wa moja ya makalvati makubwa yaliyojengwa katika barabara ya Kia-Mererani yenye urefu wa Km 26.
kad7
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo kwa Mhandisi Mshauri anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Kia-Mererani Km 26.
kad8
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akikagua karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA mkoani Manyara.

Serikali imeitaka kampuni ya KADCO inayoendesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kuongeza mapato na kuimarisha ulinzi ili kulinda hadhi ya uwanja huo, kuchangia pato la serikali na kudhibiti hujuma dhidi ya watu wasio waaminifu.

No comments:

Post a Comment