TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, April 12, 2013

ASKARI WANAVYOENDELEA NA MAPAMBANO YA KUDHIBITI WAALIFU SEHEMU MBALIMBALI NCHINI

 Akiwa Moroco Dar es Salaam katika kuharakisha magari kupunguza msongamano wa magari
 Wakiwa Kigogo Dar es Salaam baada ya Kumshuku Dereva asiyetumia Vizuri Leseni yake ya Udereva
 Gari ambalo lilikuwa na Bidhaa Likipekuliwa Kituo kidogo cha Kigogo Dar es Salaam
 Wakilikagua gari la Mizigo Kibamba CCM Nje Kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
 Akiwa Eneo la Ubungo Kibangu kukagua Magari yanayopita Service Road(Njia ndogo ya Pembeni)
 Akiongoza Magari kupunguza Msongamano wa Magari Ubungo
 Akiwa Ubungo Kibangu
 Akiwa Kimara Dar es Salaam
 Wakiwa wamemdhibiti Dereva wa Boda boda ambaye alidhaniwa Kusababisha ajali kisha kukimbia baada ya kumgonga Mtembea kwa Miguu
 Akiwa Kigogo Dar es Salaam baada ya Kubaini Madereva wa Boda boda kuendesha Pikipiki bila kuvaa Element
 Ni dhahili Uwezi kushindana na hii Pikipiki maalum kwa ajili ya Matumizi ya Askari wa Usalama Barabarani
Akifanya Ukaguzi mjini Morogoro.
 (Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment