TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, April 11, 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA


 Ajali Nyingi za barabarani Utokea kutokana na Ushindani wa Madereva. Wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakibishana eneo la Mwananyamala kwa mama Zakaria kila mmoja akitaka kuwahi kitendo kilichosababisha Msongamano waMagari na kuwachefua Madereva Wengine hivi Karibuni.
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
 Jiji la Dar es Salaam ivi sasa linamsongamano mkubwa wa Magari kutokana na Ujenzi wa barabara za kisasa unaoendelea takribani Njia nyingi zinazoingia katikati ya Jiji, Madereva wanashauriwa kupenya njia za Pembeni ili kuepuka Msongo huo wa Foleni.
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
 Vijana wanashauriwa kujishugulisha na shuguli mbalimbali za Maendeleo na wasitumie muda wao mwingi kukaa vijiweni.(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
 Watumiaji vyombo vya moto mnatakiwa kuwa waangalifu katika kuwalinda Askari wetu wa barabarani.
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
 Ukifanikiwa kutembelea hifadhi ya taifa ya Saadani utakutana na ndege hii ambayo pia ni kivutio kwa watu mbalimbali 
,(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
 Hapa ilibidi nionyeshe mfano kwa kijana huyu mkazi wa Kirombero kuhusu kwanza, 
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).


 Mkurugenzi wa Full Utamu-Jimwage-Shaaban Mpalule,alipotembelea hifadhi ya Mikumi National Park.





No comments:

Post a Comment