TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, April 11, 2013

TUZO 12 ZA FURAHA NA MAJONZI KWA WASHIRIKI WA FAINALI ZA TAIFA ZA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 ZILIZOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI NATIONAL PARK .NA KUZINDUA UPYA KAMBI YA TAIFA AMBAYO INAJIANDAA KUTOA WAWAKILISHI 5 WA DUNIA KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA MWEZI WA SITA MWAKA HUU.

Kazi ya MC ni kuwafanya wanaosherehekea na kusherehekesha kufikia Malengo yao, hivyo kwa  MC huyu kazi yake ilikuwa ni kufurahi muda wote katika tukio hilo
 Miss Utalii Morogoro akiwaza wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Mbeya -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Zanzibar yeye ilikuwa kama  ivi -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Kilimanjaro, ambaye muda mwingi uonekana kuwa mtulivu muonekano wake iikuwa ivi -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Rukwa akipotezea kwa kuchati na marafiki wa febook -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Ruvuma alianza kupatwa na baridi la gafla Mara joto lilipanda hata kufikia kuitaji  kipoza koo -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Tabora uvumilivu ulipita kando na kuamua kutandika kitanda bila godoro wala neti -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Kagera ilibidi kuwaza kwa Marefu na mapana kutokana na jinsi alivyoweza kuvuka Ziwa Victoria na safari yake ndefu Mpaka Dar es salaam, yeye ilikuwa katika hali hii -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Shinyanga -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12 ilibidi kuwa katika hali hii.
  Miss Utalii Kigoma yeye pozi lake ilikuwa ivi -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Simiyu ilibidi kuwa katika  mwonekao wenye majonzi -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Vyuo Vikuu Kama ivo -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Dar es Salaam 1 kwake hali ilikuwa mbaya zaidi-wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Ruvuma baada  ya baridi mara tena joto -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
 Washiriki hawa wa Miss Utalii Tanzania -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12 wao haikuwapa kabisa isipokuwa muda wote walikuwa wakichungulia huko meza kuu kama kunaweza kusikiwa kwa sala zao wakati huo zikitoka katika Mioyo yao.maana hata viti havikukalika.
  Miss Utalii Simiyu mara tena ilibidi kufanya mapitio,yaani mwanafunzi baada ya kumaliza mtihani inafuata kujisomea hapa ni wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Mwanza yeye presha inapanda inashuka, kiti akifai wala chini hapakaliki -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12
  Miss Utalii Lindi yeye ilikuwa ivi -wakati Majaji wakisubiliwa kutangaza Mabalozi wa Tuzo 12

Majaji kwa upande wao walikuwa  na Mvutano wa hapa na pale kutokana na Washiriki Wote kujielezea kwa ushindani wa hali ya juu katika kuvielezea Vivutio Mbalimbali  vya Taifa Vya Utalii na ambacho wanaweza kufanya pindi wakiteuliwa kuwa mwakilishi wa Eneo husika ama  kuwa mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya kimataifa.
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment