TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, April 12, 2013

MAISHA NI SAFARI NA MUZIKI, NDIVYO ILIVYOKUWA KWA WAREMBO WA MISS UTALII WAKATI WAKIWA SAFARINI WAKATI WA ZIARA YA KUTEMBELEA HIFADHI MBALIMBALI ZA TAIFA.

 Miss Utalii Dar es Salaam 2(kati) Miss Utalii Mbeya(kushoto) na Miss Utalii Dar 1
 Warembo wakiimba Nyimbo mbalimbali
 wakiimba na kucheza
 Miss Utalii Manyara na Mshindi wa Talent,(kushoto) akiongoza awamu hii kufurahi kwa kuimba na kucheza
 Furaha yao aikuishia hapo maana iliwachukua zaidi ya masaa 2
 Warembo wakipagawa na Muziki
 Siku zote raha jipe Mwenyewe maana kuna wakati wa Furaha na kuna wakati wa uzuni, hapa wakifurahi kuitiliza
 Katikati ni Miss Utalii Shinyanga & Miss Utalii Dar es Salaam 1
 Wakati Dereva akizidi kuchanja Mbuga wao walikuwa katika hali hiyo ya Furaha Muda wote
 Siyo Kilio Bali ni Furaha
 Baada ya Kusinzia kwa Muda, Miss Utalii Zanzibar Uzalendo ulimshinda na kujiunga katika kundi(wa pili kulia)
 Piga Kelele..................Miss Utalii Tanzania 2012/13
Kiboko yao Miss Utalii Dar es Salaam 2, ambaye aliongoza jahazi hilo la kuwapa Burudani washiriki wenzake na kuwataka wasilale ili wajiunge kufurahi wakati huo wakiwa katika Safari ya Kuelekea jijini Dar es Salaam, baada ya kuwa Porini kwa Siku Kadhaa ambako huko walifanikiwa kujionea Vivutio Vingi , isipokuwa pia hawatasahu moja ya Misukosuko waliyokutana nayo wakiwa katika Ziara hiyo ambao moja ya Msukosuko ilikuwa ni pale Magari yao yalipokuwa yakinasa katika Tope ambazo zilisababishwa na Mvua Zinazonyesha Maeneo mbalimbali ya Nchi, hivyo iliwabidi wakati Mwingine Kujitoa na kuhakikisha wanashirikiana kuisukuma hadi kunasuka.
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment