TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, April 13, 2013

TOA MAONI YAKO JUU YA TUKIO AMBALO LIMEKUFURAHISHA AMA KUKUCHUKIZA KATI YA HIZI PICHA

 Mnara wa Mwenge wa Uhuru ambao upo Mnazi Mmoja
 Msanii wa Sarakasi yupo Morogoro
 Mnazi Mmoja ambao upo Jijini Dar es Salaam, ambao ndiyo wenye jina la Mnazi mmoja na. upo Mnazi mmoja kama ilivyo eneo husika, unapatikana eneo la makumbusho umehifadhiwa  na tangu enzi na enzi mmnazi huu Upo
 Mrembo wa wiki wa Blog, ambaye ameng'ara kuliko Wengine na Kuonekana mara Nyingi zaidi ndani ya Blogs hii.(Miss Utalii Dar es Salaam 2)
 Mchoraji ambaye pia amechorwa na Blog hii, wakati akichora , jijini  Dar es Salaam
Barabara ya njia mbili ambayo magari kama haya yaliweweseka  kupishana na kuziba njia yote, eneo la Tanesco Ubungo njia   
                                          ya Ubungo Maziwa

 Staili  ya Nywele za Miss Utalii Manyara ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Kipaji katika Mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13
 Barabara ya Kinondoni ambayo Foleni yake inaonekana hivi, na wakati huo kibao cha kutambulisha Barabara hiyo kikiwa kimesahaulika hivyo unavyoona
Msanii wa Komed, na Midevu kama Osama, yupo Morogoro na Miondoko ya Kijoti.
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment