TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, April 12, 2013

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM

 Madereva wa Vyombo vya Moto wameaswa kuwa waangalifu wakati wakitumia vyombo vya Usafiri, ajali hii imetokea kutokana na Uzembe wa Dereva wa Pikipiki .
 Wakazi wa Mbagala wakijaribu kumtuliza Jamaa ambaye alisadikiwa kufanya Vurugu Kutokana na Kuzidisha Pombe kupita Kiasi katika Bar ya Tumaini Mbagala kuu jijini Dar es Salaam.
 Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameaswa kutoa jitiada za kusaidia Watoto hawa ambao wanaishi katika Mbuyu huu uliopo eneo la Gymkana Posta.
Sanaa ni mchezo ambao ni burudani machoni mwa watu, kama ambavyo Vijana hawa walipokuwa wakitoa burudani hiyo wakati wa Tamasha la Tigo KABANG katika eneo la Mbagala Kizuiani hivi karibuni.
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)

No comments:

Post a Comment