on FEBRUARY 25, 2014 in SIASA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Zambia  nchini Tanzania Bi, Judith Kangoma Kajimpanga aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi  waZambia  nchini Tanzania B,i Judith Kangoma Kajimpanga aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Soud Ali Mohamed aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]WAZIRI MKUU NA MATUKIO YA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Bunge Maalum la Katiba nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, Februari 25, 2014. Kutoka kushoto ni Abdallh Sharia  Ameir, Riziki Said Lulida na  Jerome Dismas Bwausi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment