TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 26, 2014

PIKIPIKI AINA YA HERO DAWN YAZINDULIWA TANZANIA

 on FEBRUARY 25, 2014 in BIASHARA 

Astarc4Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya Pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn Bw. Subhash Patel (kushoto) akiteta jambo na Afisa Uhusiano wa kampuni ya Astarc Group Bw. Mukesh Joshi  leo jijini Dar es Salaam. kulia ni Mkurugenzi wa Astarc Group Africa Bw. Sameer MusaleAstarc5Mkurugenzi wa Astarc Group Africa Bw. Sameer Musale akitoa historia fupi ya kampuni ya Astarc ambayo ni watengenezaji na wasambazajiwa pikipiki aina ya Hero ambazo zimezinduliwa jijini Dar es Salaam.Astarc6Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Astarc Group akimkaribisha mgeni rasmi Bw, Subhash Patel (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa aina mpya ya pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn.Astarc7Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya pikipiki Hero Dawn  Bw. Subhash Patel akizungumza na waaandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa aina mpya ya pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn(Pesa zaidi mfukoni) jijini Dar es Salaam.Astarc8Mkurugenzi Mtendaji wa Astarc Group Bw.Salil Musale akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa aina mpya ya pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn (Pesa zaidi mfukoni)  jijini Dar es Salaam.Astarc9Astarc10Baadhi ya wananchi wakijibu maswali mbalimbali kuhusu pikipiki aina ya Hero Dawn wakati wa uzinduzi wa pikipiki hiyo jijini Dar es Salaam.
 Picha na Eliphace Marwa – Maelezo

No comments:

Post a Comment