TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 25, 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WATEMBELEA TBL DAR

Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kushoto), akitoa maelezo kuhusu mitambo ya kutengeneza bia wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
SAWE AKIWAONESHA WANAFUNZI AINA YA MALIGHAFI YA HOPS INAYOTUMIKA KUTENGENEZEA BIA
Wanafunzi wakipata maelezo kutoka kwa Sawe kuhusu upikaji wa bia kwa njia ya kisasa
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo jinsi bia inavyopikwa  kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
Wanafunzi wakiwa maabara ya kiwanda hicho
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo kuhusu mitambo ya kuchachua bia wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo jinsi mitambo ya kuchuja bia inavyofanyakazi wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa
ni sehemu ya mafunzo yao.
Mtambo wa kufunga bia za kopo kwenye makasha
Bia zikiwa tayari

No comments:

Post a Comment