HIVI NDIVYO ANAVYO KOJOA SASA

JINA
 lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa 
Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa 
akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni 
ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia 
katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na 
Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari 
ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.

Happiness
 Magese anasihi wanawake kucheki afya zao mara kwa mara wasije wakakutwa
 na tatizo kama lake la ugumba ambalo limeharibu na kibofu chake na 
kupelekea hata kushindwa kukojoa kwa njia ya kawaida na badala yake 
anatumia mipira, ni vema kuchek afya mara kwa mara.
No comments:
Post a Comment