Zaidi
 ya nyumba 3 za Biashara zilizopo karibu na Hospitali ya Mwananyamala 
 jijini Dar es Salaam zinateketea kwa moto ambao bado unaendelea kuwaka 
kwa kasi na kutishia nyumba zingine zilzopo jirani. Zimamoto wamefika 
eneo la tukio na kuanza kuzima moto. Endelea kufuatilia kwa taarifa 
No comments:
Post a Comment