Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye
 shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu 
kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya 
Kigogo Richard Chengula.
 Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.  Binilith Mahenge 
(kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda 
cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam, 
 Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam, 
Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge 
(katikati) akiongozwa na Meneja Mkuu wa NIDA Textile Mills Ltd Imran 
Lohya kupanda kwenye tenki la maji yanayutumika na kiwanda hicho.




No comments:
Post a Comment