Redd's
Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa
malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange
16 waliokuwa wakiwania tiketi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania
2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamkia.
Shila
ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya
pili na Queenlatifa Hashim aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja
wamepata tiketi ya kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika mashindano ya
taifa ya Miss Tanzania 2014 yanayotaraji kufanyika mapema mwezi Oktoba.
Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila (klatikati) akipunga mkono
baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi wa taji hilo na kuwaongoza warembo
wengine 15 waliokuwa wakiwania taji hilo. Wengine mshindi wa pili
Camila Cindy John (kulia) na

Camila Cindy John (kulia) na mshindi wa tatu Queenlatifa Hasim. Shindano
hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo. PICHA ZAIDI: FATHER KIDEVU BLOGwa tatu Queenlatifa Hasim. Shindano
hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo. PICHA ZAIDI: FATHER KIDEVU BLOG
No comments:
Post a Comment