TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Saturday, November 21, 2015
DC PAUL MAKONDA AZINDUA UMOJA WA WATENGENEZAJI KEKI TANZANIA (TCBA)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa pili kulia) na Mdau wa Keki, Mama Cythia Henjewele (wa pili kushoto), wakikata keki maalumu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Watengeneza keki Tanzania (Tanzania Cake Bakers Association -TCBA), uliofanyika katika Mgahawa wa City Lounge Posta mpya Dar es Salaam jana. Kulia ni Mshehereshaji, Makena na Mdau wa Keki, Philip Mbonde.
Mwanzilishi wa umoja huo, Stellah Rwabutaza (kushoto), akimlisha keki mgeni rasmi DC Makonda. Katikati ni mdau wa Keki Cythia Henjewele.
Mtengeneza keki, Roselins Sia Adhero (kulia), akimkabidhi keki DC Makonda.
DC Makonda akimlisha keki Cythia Henjewele.
Watengeneza keki mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Ni watengeneza keki wakipigana picha.
Meza kuu hiyo.
MC wa uzinduzi huo, Flora Kisa Mathew (kulia), akimtambulisha Mwenyekiti wa TCBA), Angela Msangi kwa wadau wa keki.
Ni furaha tu kwa watengeneza keki.
Mshauri wa masuala ya ujasiriamali, Marione Elias akizungumza na wadau hao wa keki.
DC Makonda akitoa hutuba yake ya uzinduzi. Kutoka kushoto ni mwanzilishi wa umoja huo,
Stellah Rwabutaza, Mdau wa keki, Philip Mbonde na Mdau wa keki, Cythia Henjewele.
Mdau wa keki Philip Mbonde (kushoto), akimlisha keki mwanzilishi wa umoja huo, Stellah Rwabutaza. Kulia ni mdau wa keki, Cythia Henjewele.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment