TAASISI ya Starkey Hearing
Foundatioin ikitoa huduma ya kliniki kwa kuwawekea vifaa vya kuongeza
usikivu masikioni kwa watu zaidi ya 1000 wenye matatizo ya kusikia
katika Mkoa wa Kilimanjaro shughuli iliyoanza jana kwenye viwanja vya
Shree Hindu Mandal vilivyopo kando ya barabara ya Mawenzi mjini Moshi .
TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Sunday, November 9, 2014
TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YASAIDIA WASIOWEZA KUSIKIA MJINI MOSHI
HII NDIO BARABARA ILIYOKARABATIWA KWA MILIONI 90 UKONGA MAZIZINI- MOSHI BAR
Hii
ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa
kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi ya mwanzo tu ya hizo kilometa tatu.(Picha na Father Kidevu Blog).
Meya Jerry Silaa wa Ilala ambaye
ni Diwani wa Gongo la Mboto alipotembelea aliwaambia wananchi kuwa
fedha za ujenzi huo ni kutoka mfuko wao ni . PICHA ZA CHINI NI SIKU MEYA
SILAA ALIPOTEMBELEA UJENZI WAKE.
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa Jana amefanya ziara fundi ya ukaguzi wa
ujenzi wa barabara ya ukonga Moshibarkilometa 3 kiwango cha changalawe awamu yakwanza. Ikiwa ni
utekelezaji wa miradi yadharura kulingana na uharibifu wa miundo mbinuulitokea baada
ya Mvua kubwa. Mradi huoambao unaghalimu kiasi cha shilingi millioni 90.Pesa za
Ujenzi huohizo zinatoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.Pia Barabara hiyo
itawekwa Lami kwa awamu ya pili ndani ya mwaka huu kwa kilomita tatu.
ujenzi wa barabara ya ukonga Moshibarkilometa 3 kiwango cha changalawe awamu yakwanza. Ikiwa ni
utekelezaji wa miradi yadharura kulingana na uharibifu wa miundo mbinuulitokea baada
ya Mvua kubwa. Mradi huoambao unaghalimu kiasi cha shilingi millioni 90.Pesa za
Ujenzi huohizo zinatoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.Pia Barabara hiyo
itawekwa Lami kwa awamu ya pili ndani ya mwaka huu kwa kilomita tatu.
Mwonekano wa Bara barabara hiyo
MWANZA WAIKUBALI WINDHOEK WAFURAHIA MPANGO WA MABIBO BIA KUJENGA KIWANDA
Wadau wa Windhoek ndani ya Villa Park Resort
katika promosheni hiyo.
Hapa shughuli imepamba moto waalikwa wakimsikiliza Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr.James Rugemalira.
Dotto Mwaibale
WAKAZI wa
jiji la Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa, wamefurahishwa na
uwekezaji unaotarajiwa kufanywa na Kampuni ya Bia ya Mabibo (MBL) kwa
ajili ya kujenga kiwanda cha bia za Windhoek.
Wakizungumza
katika promosheni iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Mwanza juzi
katika ukumbi wa Villa Park Resort, wanachi hao walionesha kuguswa na
uwekezaji huo na kushauri kijengwe kiwanda hicho jijini Mwanza.
Walisema kujengwa kwa kiwanda hicho kutachochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa Kanda ya Ziwa.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira alisema lengo la kufika Mwanza ni kupata mawazo mapya na ushauri wa nini kifanyike katika uwekezaji huo jijini humo.
“Tumeamua tuje Mwanza na kuomba ushirikiano wenu na rai yangu ni kupata
maoni yenu ili tukipata fursa tuwe na viwanda vidogo vidogo,lakini si
sawa na Tanzania Breweries (TBL),maana hatuwezi kushindana nao,” alisema
Rugemalira.
Alisema ushindani wa haki ni lazima kila
mtu apate haki ya kushinda,na wataka waweke misingi hiyo kwanza katika
mikoa ya Mwanza, Kagera, Mbeya na Mtwara kwa kuanzisha viwanda vidogo
vidogo.
Aliwataka wananchi wa kanda ya ziwa kuwaonesha na kuwaunga mkono ili wazalishe kinywaji cha windhoek Mwanza badala ya kuagiza kutoka nje ya nchi kama ilivyo sasa,ambapo kinywaji hicho kinagizwa kutoka nchini Namibia.
“Mtu
anaweza kunipa ushauri au akaniamuru atakavyo ili nijitambue na ni vema
kukubaliana na ushindani bila hivyo hatuwezi kupata maendeleo na
malengo ya kampuni yetu ni kushirikiana na serikali kukabiliana na uhaba
wa ajira kwa Watanzania kwa kujenga viwanda hivyo ”alisema Rugemalira.
Meneja
Masoko wa Kampuni ya Mabibo Bia (MBL), Kanda ya Ziwa, Godfrey
Mwangungulu alisema Bia ya Windhoek imewahi kushinda medali za juu saba
kwa ubora Barani Afrika tangu ianze kuzalishwa mwaka 1920.
“Bia ya Windhoek ilishinda tuzo hizo mfufulizo kuanzia mwaka 2007, 2008, 2009,2010,2011,2012 na 2013.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA MAHAKAMA YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA ICTR JIJINI ARUSHA.
Lilian Kamazima Miss Tanzania 2014 baada ya Sitti Mtemvu kujiuzuru na kuvua taji
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA IJITIMAI YA KIMATAIFA MJINI MOROGORO
Picha na OMR
Sitti Mtemvu amejivua taji la Miss Tanzania 2014
Barua ya aliyekuwa
Miss Tanzania 2014,
Sitti
Abbas Mtemvu,
aliyowaandikia Lino International Agency
kuhusu uamuzi wake
wa
kujivua taji hilo.
Hatimaye aliyekuwa mrembo wa Tanzania 2014 (Redd’s Miss Tanzania 2014), Sitti Abbas Mtemvu, ametangaza kujivua taji hilo. Taarifa News imebaini.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa Lino International
Agency, Hashim Lundenga, amesema Sitti amechukua hatua hiyo kutokana
kuzongwa na madai ambayo amesema si ya kweli.
Lundenga amesema waandaaji wa Miss Tanzania wamekubaliana na uamuzi
huo kumvua taji Sitti ambaye ni mtoto wa mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu.
Badala yake taji limeenda kwa Lilian Kamazima aliyekuwa mshindi wa
pili katika mashindano hayo yaliyozua tafran mbaya zaidi tangu kuanza
kwa Miss Tanzania.
Taarifa zinaeleza kuwa mrembo huyo aliitumia barua kamati ya uandaaji wa Miss Tanzania iliyoeleza uamuzi wake wa kuvua taji hilo.
Baada ya kukabidhiwa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 Oktoba 11,
siku chache baadaye Sitti alikumbwa na kashfa ya kudanganya umri baada
ya kuonekana kuna utofauti wa umri kati ya leseni na pasipoti yake.
SUNDERLAND DOES IT AGAIN AT WTM-TANZANIA STAND
By Ayoub mzee
Today was the final day of WTM
2014 at ExCeL London. Sunderland AFC continued to strengthen its links
with Tanzania in particular, following the signing of a ground-breaking
business partnership, which sees the country become the ‘Official
Destination Partner’ of Sunderland AFC.
Once again Sunderland
officials were present at the Tanzania’s stand at the world
travel market not only to give support to Tanzania Tourist
board as tourism is a key factor in the upward growth of the Tanzanian
economy and the partnership aims to use the global reach of the
Barclays Premier League to promote the country as a tourist destination.
Premier League football is watched in over 200 countries, with
accumulative audience of a phenomenal 4.7 billion, making it the most
watched sporting league in the world but also free tickets were
offered through a rafle to watch a match between Sunderland
and Chelsea. Present was the Tanzania high commissioner H.E
Peter kallaghe and other dignitaries .
Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' AFARIKI DUNIA.
Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake.
MWANAMUZIKI wa zamani
wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu
‘Amigolas’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa.
Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika.
Mwimbaji huyu ambaye hadi anafariki, alikuwa mtumishi wa bendi ya Ruvu Stars inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Amigo
alikuwa mmoja wa wanamuziki waasisi wa Twanga Pepeta, akaitumikia kwa
uaminifu mkubwa kwa miaka mingi kabla ya mwanzoni mwa mwaka huu yeye na
wenzake kadhaa kuanzisha Super Stars Band ambayo baadae ikachukuliwa na JKT na kuwa Ruvu Stars Band.
Akiwa Twanga Amigo akajijengea umaarufu wa aina yake na kuwa kama moja ya nembo ya bendi, katika utumishi wake uliotukuka ndani bendi hiyo, akafanikiwa kutunga wimbo mmoja 'AMINATA' ambao ulikamata chati kwa miaka mingi tangu ulivyorekodiwa mwaka 2003.
‘injinia’ wa mipango yote kuanzia Super Stars hadi Ruvu.
Kabla ya Twanga Pepeta, Amigo aliitumikia pia bendi ya Bicco Stars chini ya Kinguti System.
Msiba uko nyumbani kwa mama mzazi wa marehemu Mburahati jijini Dar es Salaam jirani kabisa na Shule ya Msingi Mianzini na taratibu za mazishi zinasubiri ndugu na jamaa kutoka Tabora na Kigom
LEO KATIKA UKUMBA WA MANYARA MSHIKE MSHIKE WA NGUMI MANZESE DAR ES SALAAM.
BONDIA Samsoni Maisha wa kyela
Mbeya amewasili jijini Dar es salaam na kutamba kunyakuwa ubingwa wa
TPBO kwa kumpiga Ibrahimu Tamba wakati wa mpambano utakaofanyika novemba
9 mwaka huu katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam
mpambano huo wa raundi kumi
kugombania ubingwa wa taifa unaotambuliwa na TPBO utatanguliwa na
mpambano mwingine wa ubingwa kati ya julius Kisarawe na
Moro Best mpambano wa raundi kumi pia mwandaaji wa mpambano
huo Jafari Ndame amesema maandalizi yote yapo tayali hivyo wanasubili
siku tu kukamilisha mpango mzima
Aliongeza kuwa siku hiyo kutakuwa
na mapambano mengine ya utangulizi ambapo Karim Ramadhani atapambana na
Stevin Kobelo na Robinson Msimbe atamenyana na Fadhili Boika na
mipambano mingene mikali zaidi siku hiyo kutakuwa na michezo ya utangulizi zaidi ya nane yenye raundi sita sita
katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha
kabisa kutokana na kujipanga vizuri katika swala hilo kingilio ni
shilingi, 5000; kwa kila mtu mchezo huu utapambwa na burudani mbalimbali
siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo
zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa
hatua
mpaka kujua kitu kamili katika
mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd
Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani
MKUTANO MKUU WA PILI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA AKIBA NA MIKOPO TCRA
Meneja
Wa Chama Cha Ushirika wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Bw.Damai J Mapunda Akitoa Muongozo Jinsi gani Mkutano Utakavyo Endeshwa
Mwenyekiti Wa Chama Cha Ushirika cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Erasmo A.Mbilinyi Akiwasilisha taarifa aliyo iandaa kwa kipindi Cha November 2013 Hadi September 2014 Katika Mkutano Huo
Makamu
Mwenyekiti Mpya Bi.Mabel Masas Ambapo Chama Cha TCRA SACOSS kiliweza
kufanya Uchaguzi Katika Kuendeleza Kuimarisha Chama Na Kisheria Za Chama
Bw.Damian.F.Mashauri
Mkaaguzi wa COASCO Ambaye aliwakilisha kwaniaba ya wakaguzi wengine
Wanaofanya kazi za Ukaguzi katika Vyama Vya Usharika Hapo akitoa Taarifa
ya Ukaguzi katika Mkutano waTCRA SACOS
usimamizi waSACOSS ya TCRA
Washarika wakiendelea kufuatilia kwa umakini Mkutano huo
Miongoni Mwa Wanachama Cha Ushirika cha TCRA walio weza kuhudhuriaMkutano wa Pili
Bw.Charlse Thomas Mjumbe wa Bodi Akisisitiza jambo katika mkutano huo
Bw.Abduh Husein Akitoa mchango wake wa mawazo katika Mkutano huo
Wanachama wakiwa katika mkutano
Bw.Francis MAYILA. akiwa ni Mwana Kamati Ya Usimamizi akichangia Maada Iliyokuwa ikiendelea Katika Mkutano huo
Subscribe to:
Posts (Atom)


