TAASISI ya Starkey Hearing
Foundatioin ikitoa huduma ya kliniki kwa kuwawekea vifaa vya kuongeza
usikivu masikioni kwa watu zaidi ya 1000 wenye matatizo ya kusikia
katika Mkoa wa Kilimanjaro shughuli iliyoanza jana kwenye viwanja vya
Shree Hindu Mandal vilivyopo kando ya barabara ya Mawenzi mjini Moshi .
Mwanzilishi
wa taasisi hiyo, Bill Austin na mkewe Tani wamekuwa wakiongoza zoezi
hilo toka lilipoanza majira ya saa mbili asubuhimjini Moshi jana.
Lina
John ambaye ni kipofu akipima kiwango cha sauti kwenye kidevu chake ili
kama mtoto Ronald anaweza kusikia mara baada ya kuwekewa kifaa cha
kuongeza usikivu:
No comments:
Post a Comment