TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Saturday, November 15, 2014
WANAFUNZI WA KENYA WATEMBELEA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA KUJIFUNZA
Naibu Msajili wa Mahakama ya Kiafrika ya Haki za Binadamu(AfCHR)Nouhou Dialo akizungumza na wanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya waliofanya ziara ya kujifunza juu ya utendaji kazi wa Mahakama hiyo yenye makao yake Jijini Arusha jana,wengine ni Mhadhiri wa Chuo hicho,Nyamweya Mamboleo na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa AfCHR,Sukhdev Chatbar.
Baadhi ya Wanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya walimsikiliza Naibu Msajili wa Mahakama ya Kiafrika ya Haki za Binadamu(AfCHR)Nouhou Dialo .
Wanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya walimsikiliza Afisa Uhusiano Mwandamizi wa AfCHR,Sukhdev Chatbar wakati akiwatambulisha maeneo mbalimbali ya Mahakama hiyo.
Mmoja wa wanafunzi akifurahia kitabu kwenye Maktaba ya Mahakama hiyo lana
Wanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya wakiangalia baadhi ya Kesi zilizowahi kufunguliwa katika Mahakama hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment