TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Sunday, November 9, 2014
DR. SHEIN KATIKA MKUTANO WA CCM PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (wa tatu kushoto) Makamo wa Pili wa Rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla mohamed Mshindo na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mama Asha Balozi wakiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika ujwanja Gombani yakale Kisiwani Pemba jana.[Picha na Ikulu.]
Wananchi na wanaCCM wa Mikoa ya Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na Wana CCM alipowasili katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale Wilaya ya Chake Chake Pemba.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment