MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA MAHAKAMA YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA ICTR JIJINI ARUSHA.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya
Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8, 2014 kwenye Ukumbi wa
AICC Jijini Arusha. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu
za Mahakama ya Kimbari zilizo katika ukumbi huo wakati akiondoka baada
ya kufungua rasmi Mkutano wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya
Mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR, ulioanza leo Novemba 8, 2014 kwenye
Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment