TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, March 30, 2016
WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAMAMBE WA USAFIRI WA ANGA ( CIVIL AVITIATION MASTER PLAN) JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt Leonard Chamuriho akifungua warsha ya kujadili rasimu ya Mpango Kamambe wa Sekta ya Usafiri wa Anga( The Civil Aviation master Plan) iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA). Banana - Ukonga jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt Leonard Chamuriho(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari(Kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Mhandisi George Sambali (kushoto) wakiwa kwenye warsha ya kujadili rasimu ya Mpango Kamambe Sekta ya Usafiri wa Anga( The Civil Aviation master Plan) warsha hiyo ilifanyika katika ofisi za Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) ), Banana - Ukonga jijini Dar es Salaam leo.
WANAWAKE DODOMA WANUFAIKA NA ELIMU YA UJASILIAMALI INAYOTOLEWA NA MANJANO FOUNDATION
Mwanasaikolojia
Anti Sadaka akitoa Mada kwenye Mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa
Mkoa wa Dodoma yanayoendeshwa na Taasisi ya Manjano Foundation
yanaoendelea kwenye ukumbi wa LAPF House.
Mwanasaikolojia
Anti Sadaka amewafunda wanawake wa Dodoma wanaoshiriki mafunzo ya
ujasiriamali ya kujikita katika biashara ya Vipodozi vya LuvTouch
Manjano. Mafunzo hayo yanaendeshwa na wataalamu kutoka taasisi ya
Manjano Foundation na mkufunzi wa maswala ya Biashara mjini Dodoma
yanayoendelea kwa wiki nzima.

Anti
Sadaka amewataka wanawake hao kujitambua kwa lengo la kufikia malengo
yao waliojiwekea. Akieleza zaidi katika semina hiyo amewataka wanawake
hao kujitambua wao ni nani, wajiamini, watambue vyeo vyao katika
familia, wana nafasi gani kwenye jamii inayowazunguka, kufanya kazi kwa
bidii na kudumisha nidhamu yao kwa kila wakifanyacho kwa lengo la
kufikia malengo yao.

Pia amewaasa wanawake walioshiriki mafunzo hayo mjini Dodoma kuchangamkia FURSA zinazowazunguka. Semina
hiyo inawanufaisha wanawake wa Dodoma kwa lengo la kuwaongezea kipato
na pia kuweza kujiajiri ili kujikwamua na tatizo la ukosefu wa ajira. 

Ziara ya Mafuzo ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
Leo Jumatano tarehe 30 Machi 2016 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa chini ya Makamu Mwenyekiti Mh. Dkt.
Pudenciana Kikwembe walipata fursa ya kutembelea ofisi za MKURABITA kwa
ajili ya kujifunza juu ya madhumuni na shughuli za MKURABITA nchini.
Prof. Mbarawa afanya ziara kushtukiza KOJ Kurasini
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na
baadhi ya wafanyakazi wa TPA eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini
(KOJ) Kurasini leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia Mhandisi
anayefanya kazi eneo la KOJ Jabiri Muyones.
Kapteni Abdulla Mwingamno (kulia) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) baadhi ya vifaa vya kituo cha kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongozana na Mhandisi anayefanya kazi eneo la KOJ Jabiri Muyones alipotembelea TPA eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini leo jijini Dar es salaam.
Kapteni Abdulla Mwingamno (kulia) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) baadhi ya vifaa vya kituo cha kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongozana na Mhandisi anayefanya kazi eneo la KOJ Jabiri Muyones alipotembelea TPA eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini leo jijini Dar es salaam.
A pioneering webinar to bring together Supplier Management representatives from Boeing Defense, Space & Security and Tunisian aerospace manufacturers
PRESS RELEASE
|
A
pioneering webinar to bring together Supplier Management
representatives from Boeing Defense, Space & Security and Tunisian
aerospace manufacturers
|
Boeing presented eligibility requirements and a road map for what it takes to become a Boeing supplier
|
TUNIS, Tunisia, March 30, 2016/ -- In partnership with the Tunisian Foreign Investment Promotion Agency (FIPA) (www.InvestInTunisia.tn),
the USAID-financed Business Reform & Competitiveness Project (BRCP)
sponsored a pioneering webinar to bring together Supplier Management
representatives from Boeing Defense, Space & Security (www.Boeing.com/defense) and Tunisian aerospace manufacturers.
|
Fiston Mwanza Mujila Announced Winner of the 2015 Etisalat Prize for Literature
PRESS RELEASE
|
Mujila
is the first Francophone writer to win the prestigious Etisalat Prize,
the first ever pan-African prize that celebrates debut fiction books by
African authors
|
LAGOS, Nigeria, March 30, 2016/ -- Poet and novelist Fiston Mwanza Mujila was on Saturday, 19th March 2016 announced as the winner of the 2015 Etisalat Prize for Literature (http://Prize.Etisalat.com.ng) for his first novel, Tram 83. Originally written in French, Tram 83
was translated into English by Roland Glasser and published by Deep
Vellum. 35-year-old Mujila is the first Francophone writer to win the
prestigious Etisalat Prize, the first ever pan-African prize that
celebrates debut fiction books by African authors.
Fiston Mujila was announced winner by the Chair of judges, Ato Quayson, at the award ceremony held at Intercontinental Lagos Hotel, which was broadcast live on Hip TV and viewed by over 30 million people across Africa. The event was also live-streamed on the internet. Mujila was presented with a £15,000 cheque, an engraved Montblanc Meisterstück and an Iphone 6S. He will also have the opportunity to attend the Etisalat Fellowship, worth £13,000, at the prestigious University of East Anglia, United Kingdom, under the mentorship of Professor Giles Foden. Born in Lubumbashi, Democratic Republic of Congo, in 1981, Mujila studied Literature and Human Sciences at Lubumbashi University. He now lives in Graz, Austria and is pursuing a PhD in Romance Languages. He has won many accolades for his writing, including the Gold Medal at the 6th Jeux de la Francophone in Beirut as well as the Best Text for Theater (State Theater, Mainz) in 2010. His writings are a response to the socio-political turbulence of post-independence Congo. |
Energy and Environment Partnership Southern and East Africa announces opening of its 12th and 13th Call for Proposal
PRESS RELEASE
|
Energy and Environment Partnership Southern and East Africa announces opening of its 12th and 13th Call for Proposal
|
The
overall objective of the Programme is to reduce poverty through
inclusive and job-creating green economy and improved energy access and
security in the Southern and East Africa regions while mitigating global
climate change
|
JOHANNESBURG,
South Africa, March 29, 2016/ -- As a challenge fund, the Energy and
Environment Partnership Programme with Southern and East Africa (EEP
S&EA) (http://www.EEPAfrica.org)
is seeking high-quality applications for projects in the two regions
that can contribute to the reduction of poverty by promoting inclusive
and job-creating green economy and by improving energy security while
mitigating global climate change. EEP is jointly funded by the Ministry
for Foreign Affairs of Finland (lead donor), the UK Department for
International Development (DFID) and the Austrian Development Agency
(ADA) while the EEP Coordination Office (ECO) is hosted by KPMG.
The partnership supports projects in Botswana, Burundi, Kenya, Lesotho, Mozambique, Namibia, Rwanda, Seychelles, South Africa, Swaziland, Tanzania, Uganda and Zambia. The overall objective of the Programme is to reduce poverty through inclusive and job-creating green economy and improved energy access and security in the Southern and East Africa regions while mitigating global climate change. The immediate Programme objective is to achieve greater access to sustainable energy services through the fast tracking of RE/EE project demonstration and deployment, including through technological learning and private sector investment. Each EEP S&EA project supports these Programme objectives. EEP Southern and East Africa Opens Simultaneously Two Funding Windows for Early Stage (CfP12) and Market Ready (CfP13) Projects. Both Windows Are Now Open For First Proposal Submissions. Deadline for the submissions is April 25th, 2016 at 10h00 (South African time, GMT +2) The applications for both windows are sought in two stages: 1) first application stage (current stage), based on which successfully ranked applicants are invited to submit 2) second application stage, the final project proposals. First stage applications will be screened in terms of key criteria, including of the following types: a) technical scope b) business idea c) development impacts and climate change mitigations d) finance and capacity of the applicant and e) regional aspects. When preparing the application, it is of high importance to explain how the proposed project fulfils the following eligibility conditions “six rules” as clearly as possible: 1) Clear development rationale and an economic rationale, 2) Clear demonstration of additionality, 3) Clear sustainable development outcomes, 4) Minimisation of market distortions, 5) Credible contribution to achieving systemic market impact, and 6) Incentives that are aligned with commercial partners. These are the criteria that the applicant needs to adhere to for having the opportunity to obtain EEP funding (please see Application Guidelines for details). The Guidelines also address so called “red flags”, which are topics and conditions that cannot be funded by the EEP. In addition, specific attention needs to be given to the following cross cutting characteristics; gender, poverty reduction, innovation and difficult markets. For the projects selected through CfP12 and CfP13, the project implementation period starting in August 2016 is limited to 15 months. CfP12 - Early Stage projects
The
projects supported in CfP12 can be “last-mile” feasibility studies,
pilot or demonstration projects. The scope of this Call for Proposals
(CfPs) is limited to projects that deal with the development phase of
renewable energy and energy saving/energy efficiency projects. The
proposed project must comprise of activities that are part of a cycle
leading to further investment and sustainable commercialization. The
maximum grant allocation for a selected CfP12 project can fall in the
range € 100 000 – 300 000 with a co-financing requirement a minimum of
30%.
CfP 13 – Market ready projects
The
projects supported in CfFP13 are scale up to commercial operation,
replication of commercially proven concepts to new markets (nationally
or internationally) and rejuvenation of existing renewable energy and
energy efficiency generation projects. Market Ready is to offer
financing to projects that have a particularly strong possibility for
raising other (commercial) sources of finance for project
implementation, replication and/or scaling up. As concrete outputs, this
result area will be characterized by the development of bankable
renewable energy and energy efficiency demonstration of project
proposals that involve technological, financing or business model
innovation. The maximum grant allocation for a selected CfP13 project
can fall in the range € 200,000 - € 1,000,000 depending on the project
scope and level of verifiable co-financing brought in by the project.
Detailed information on the two Call for Proposals, as well as the online application tool, can be found at the Programme’s website at http://www.EEPAfrica.org
Distributed
by APO (African Press Organization) on behalf of Energy and Environment
Partnership Programme with Southern and East Africa (EEP S&EA).
CONTACT:
E-mail: eep.cfp@kpmg.fi Telephone: +27 (71) 7426081, between 10-14 South-African time (GMT+2.00) Read more about EEP S&EA and subscribe to our newsletter at http://www.EEPAfrica.org Energy and Environment Partnership Programme with Southern and East Africa (EEP S&EA)
Multimedia content
|
Tuesday, March 29, 2016
RAIS DKT. MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA MGAHAWANI UWANJA WA NDEGE WA MWANZA AKIWA NJIANI KUELEKEA CHATO.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza
wakijipatia chakula cha mchana katika mgahawa wa Victoria uliopo nye ya
Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea
nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi. Pamoja nao
mezani hapo ni Meya wa Ilemela Mstahiki Renatus Mulunga, Meya wa jiji la
Mwanza Mstahiki James Bwire, Mkuu wa Mkoa wa MWanza Mhe John Mongella
na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Ndg Anthony Diallo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza
wakiondoka baada ya kupata chakula cha mchana katika mgahawa wa
Victoria uliopo nye ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda
kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko
mafupi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakiwa
katika picha ya pamopja na kwaya ya Vijana ya Makongoro na viongozi wa
dini katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya
kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi.
PICHA NA IKULU.
BALOZI HAULE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO.
Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Haule akitia saini kitabu cha
maombolezo ya kifo cha Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
nchini Kenya, Mhe. TADUMI ON'OKOKO, kwenye Ubalozi wa DRC Nairobi leo,
Mhe. ON'OKOKO, ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa Mabalozi wanaowakilisha
nchi zao Kenya, alifariki dunia tarehe 20 Machi 2016 huko Paris,
Ufaransa, ambako alikuwa anatibiwa. Anayeshuhudia ni Kaimu Balozi wa
DRC, Mhe. Michel Mubare, ambaye alifahamisha kuwa marehemu atazikwa
Kinshasa baada ya mipango kukamilika.
Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Haule (Kulia) akimfariji Kaimu
Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Michel Mubare,
baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Balozi
wa nchi hiyo Kenya, Mhe. Tadumi On'okoko jijini Nairobi leo.
TANZANIA NA KUWAIT ZASAINI MAKUBALIANO YA SAFARI ZA ANGA JIJINI DAR LEO.
aziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na
waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini hati
ya makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al
Fozan.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan
akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kusaini hati ya
makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kulia ni
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kulia
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Kuwait (Kushoto katikati).Wengine katika picha hiyo ni
Maafisa kutoka Tanzania na Kuwait.
Picha na Eleuteri Mangi –MAELEZO.
Subscribe to:
Posts (Atom)




















