TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, March 30, 2016
AIRTEL FURSA YAFIKIA VIJANA WILAYANI NGARA
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa 3 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (katikati) ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” mashine na vifaa vya kuoshea magari pamoja na sehemu ya kisasa ya kufanyia biashara, akishuhudiwa na ndugu zake pamoja na wafanyakazi wa Airtel katika hafla iliyofanyika kijiji cha Kamnazi mkoani Kagera.
Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (kwanza kulia) pamoja na wafanyakazi wa Airtel wakimwonesha Kanizio Annatory (wa pili kushoto) sehemu ya kisasa ya kuosha magari aliyowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” baada ya kukabidhiwa mashine na vifaa vya kuosha magari katika hafla iliyofanyika kijiji cha Kamnazi mkoani Kagera.
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (4 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (2 kulia) ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” mashine na vifaa vya kuosha gari pamoja na sehemu ya kisasa ya kufanyia biashara, akishuhudiwa na dada yake Agnes Annatory (kulia) pamoja na wafanyakazi wa Airtel katika hafla iliyofanyika kijiji cha Kamnazi mkoani Kagera.
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa 3 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (katikati) ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” mashine na vifaa vya kuoshea magari pamoja na sehemu ya kisasa ya kufanyia biashara, akishuhudiwa na ndugu zake pamoja na wafanyakazi wa Airtel katika hafla iliyofanyika kijiji cha Kamnazi mkoani Kagera.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment