TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, April 28, 2013

DAR ES SALAAM CITY COLLEGE- CHUO BORA CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA CHENYE USAJILI WA KUDUMU KUTOKA NACTE

(DACICO)


CHUO KINA USAJILI WA KUDUMU WA NACTE No. PWF/025

CHUO BORA CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA CHENYE USAJILI WA KUDUMU KUTOKA NACTE – KWA USAJILI No. PWF/25 KINATANGAZA MUHULA MPYA WA MASOMO KWA NGAZI YA CERTIFICATE MWAKA MMOJA NA DIPLOMA MIAKA MIWILI KWA MUHULA MPYA WA MASOMO UTAKAOANZA TAR. 20/04/2013 KWA KOZI ZIFUATAZO: 
 
Ø JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION
Ø HUMAN RESOURCE MANAGEMENT
Ø COMMUNITY DEVELOPMENT
Ø PROCUREMENT & SUPPLY MANAGEMENT
Ø RADIO & TV BROADCASTING
Ø UANDAAJI NA UTAYARISHAJI WA FILAMU
Ø PUBLIC RELATIONS
Ø RECORD MANAGEMENT
Ø BUSINESS ADMINISTRATION
SIFA ZA CHUO:
Ø KINA USAJILI WA KUDUMU WA NACTE
Ø CHUO KINA MANDHARI NZURI
Ø CHUO KINA WALIMU WALIOBOBEA KTK UFUNDISHAJI
Ø CHUO KINA UZOEFU ZAIDI YA MIAKA 10 KATIKA UFUNDISHAJI NA UMALIZAPO MASOMO WAWEZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU VYA NDANI NA NJE YA TANZANIA KWANI
Ø CHUO KIPO KATIKA MIKAKATI YA KUTOA DEGREE MNAMO MWAKA 2014
Ø HOSTEL ZENYE HUDUMA ZOTE ZINAPATIKANA KWA WAVULANA NA WASICHANA
FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA:
CHUONI KIMARA, GML SECRETARIAL KIMARA, MANISPAA YA BUKOBA, CDTI – IRINGA, CDTI – MBEYA
KWA MAWASILIANO ZAIDI NA CHUO PIGA SIMU NA:
0713 – 571676, 0715 – 982982, 0765 – 179965,           0715 – 782394, 0754 – 506251
NYOTE MNAKARIBISHWA
..............................................................................

 MKURUGENZI WA MAFUNZO WA CHUO BORA CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA, DAR ES SALAAM CITY COLLEGE, VEDASTO MALIMA AKIFAFANUA JAMBO DARASANI LEO.
 MWALIMU-ADOLF KISIMA- AKIWA DARASANI KATIKA CHUO HICHO
 Walimu wakiwa katika Moja ya Vikao vya Shule hiyo
 Wanafunzi wa Chuo Hicho wakifuatilia kwa makini mafunzo ya walimu wao wakati wa Mkutano na Viongozi
 Wanafunzi wakitoka madarasani
 Wanafunzi wakionekana kupumzika katika moja ya majengo ya Chuo Hicho
 Wanafunzi wa Masomo ya Utangazaji wakiwa katika Mafunzo kwenye Maalumu (Studio) iliyopo katika Chuo ambapo wanafunzi ujifunza wakati wa masomo ya Utangazaji.
 Wanafunzi wa Masomo ya Utangazaji wakiwa katika Mafunzo kwenye Maalumu (Studio) iliyopo katika Chuo ambapo wanafunzi ujifunza wakati wa masomo ya Utangazaji.
 Mwalimu wa Masomo ya Utangazaji katika chuo hicho -akitoa mafunzo kwa Wanafunzi wa Masomo ya Utangazaji  katika  (Studio)
 Wanafunzi wakiwa katika Vyumba Vyao huku wakiendelea kujisomoea(Hosteli ya Chuo).
MKURUGENZI WA MAFUNZO, VEDASTO MALIMA AKIWA KATIKA MOJA YA OFISI ZA CHUO NA MAJADILIANO NA WANAFUNZI WA CHUO MHICHO.
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment