TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, April 29, 2013

ZIARA YA MAKAMO MWENYEKITI WA (CCM) DK.ALI MOHAMED SHEIN WILAYA KATI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM
Cleopatra  Saidi Omarn wa Dunga Wilaya ya kati alipoanza ziara ya
Chama cha Mapinduzi katika wilaya hiyo leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_9653 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini
Unguja.alipowasili Dunga Ofisi Kuu ya Cahama Wilaya ya kati akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9664 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea
Taarifa ya kazi za Chama Wilaya ya kati Unguja kutoka kwa Katibu wa
CCM Wilaya Zainab Shomari,alipowasili Ofisi Kuu ya Chama Wilaya Unguja
huko Dunga alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika
Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9684 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi jengo la Afisi ya CCM
Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya kati Unguja katika ziara za
kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9709 
Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
Kadi Mwanachama mpya wa CCM Zawadi Ibrahim,katika sherehe ya uwekaji
wa jiwe la msingi,  jengo la Afisi ya CCM Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani
Wilaya ya Kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi
Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9711 
Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimkabidhi Kadi Mwanachama mpya wa CCM Uledi Maulid,katika
sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi,  jengo la Afisi ya CCM Wadi ya
Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya Kati Unguja katika ziara za kuimarisha
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_9714Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya
zake wakila kiapo cha Utii baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,Jimbo la Koani Wilaya ya Kati Unguja
katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9742 
Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pamoja na viongozi wengine wakisikiliza Risala ya wanachama Tawi
nla Mchangani,iliyosomwa na Katibu Mwenezi Salum Hussein Khamis, baada
ya kuweka jiwe la msingi akiwa  katika ziara za kuimarisha Chama Cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9751 
Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
Boxi lenye bomba la Kumwagilia dawa Mkulima Docta Kisinja
Lubasha,katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi,  Tawi la CCM
Mchangani Jimbo la Uzini,Wilaya ya Kati katika ziara za kuimarisha
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment