TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, April 30, 2013

Wanajeshi kutoka nchini Nigeria waitembelea wizara ya Habari

picha no.2 
Katibu Mkuu wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sethi Kamuhanda  (kulia) akiangalia picha ya nembo ya chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha nchini Nigeria aliyopewa na Mkurugenzi wa kikosi cha Maji kutoka nchini Nigeria Meja Generali  Ati John (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wanajeshi 22 kutoka chuo hicho wako nchini kwa  ziara ya mafunzo ya siku tano.PICHA NA ANNA NKINDA WA MAELEZO picha no.3Mkurugenzi wa kikosi cha Maji kutoka nchini Nigeria Meja Generali  Ati John (kushoto) akimwelezea Katibu Mkuu kutoka wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sethi Kamuhanda  kuhusu picha ya kinyago kinachoonyesha mtawala wa makabila mbalimbali ya nchi hiyo alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wanajeshi 22 kutoka chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha nchini Nigeria wako nchini kwa  ziara ya mafunzo ya siku tano.

No comments:

Post a Comment