TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, April 29, 2013

TWANGA PEPETA YAPAGAWISHA SUKUMA & KELEWE CCM KIRUMBA MWANZA

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula wa kwanza kushoto, akitambulishwa Zana za Kale za Makabila ya Wasukuma na Wakerewe wakati wa Onyesho la Kiasili la Makanila hayo iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba, wa Pili kulia ni Mkurugenzi wa My Way Entertainment Paul Mganga.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula katikati, akitambulishwa Vyakula vya asili vya Makabila ya Wasukuma na Wakerewe, kulia ni Mkurugenzi wa My Way Entertainment Paul Mganga.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula wa nne kulia , akitambulishwa vyakula vya Makabila ya Wasukuma na Wakerewe.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (wa nne kushoto) akila vyakula vya asili vya Makabila ya Wasukuma na Wakerewe (Ugali wa Muohogo) na wanamuziki wa Twanga Pepeta, wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa My Way Entertainment Paul Mganga.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (kushoto) akifafanua jambo wakati wa tamasha la Vyakula vya Asili na Utamaduni wa makabila ya Wasukuma na Wakerewe ni Mkurugenzi wa My Way Entertainment Paul Mganga.
Kundi la Sanaaa Ngoma za Asili Bujora wilaya ya Magu, wakitumbiza katika Tamasha hilo
Wakazi wa mji wa Mwanza wakipagawa na Tamasha la Utamaduni wa Sukuma & Kerewe Mwanza
Wakazi wa mji wa Mwanza wakipagawa na Tamasha la Utamaduni wa Sukuma & Kerewe Mwanza
Kiongozi wa  wa Twanga Pepeta, Lwiza Mbutu akiongoza wenzake katika Onyesho hilo
 Mpiga Tumba wa Twanga Pepeta akiwajibika (Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment