TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, March 11, 2014

Serikali ya waasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo

mc1Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uharibifu wa Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam. mc2Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uharibufu wa miundombinu ya Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam.Kushoto ni baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza. mc3Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo(hayupo pichani) jijini Dar es Salaam alipokutana nao kuzungumzia uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa. 
Picha na Frank Shija – WHVUM

No comments:

Post a Comment