TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, July 23, 2014

WATANZANIA TUNATAKIWA KUONGEZA BIDII KATIKA ELIMU NA KUONDOKANA NA TATIZO LA KUONA AIBU VIJANA KUJITOKEZA KUPATA ELIMU.

 Mmoja wa Wanafunzi wa Shule za Awali wenye Vipaji jijini Dar es Salaam, Hewala Boniface, akiwa kwenye mwelekeo wa kwenda shule, maeneo ya Kibam,ba Hospitali, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wanafunzi kwenye Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, wakiona AIBU kupigwa Picha wakati waliposhitukizwa na kamera yetu
Mwalimu Omari Mtamike, anayefundisha masomo ya Uandishi wa Habari, akiwa kwenye moja ya Darasa kuwapa Elimu wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza katika Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala Dar es Salaam City College (DACICO).
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment