TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, July 22, 2014

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA EVERLYNE MACHELLAH

 Katekista wa Kanisa Katoliki Mwananyala akiongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Everlyne Michael Machellah nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo.
Ibada ikiendelea.
Michael Machellah akiwa na waombolezaji wengine.
 Ibada ikiendelea.
 Mama wa marehemu (kulia) akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili nyumbani kwao Mwanyamala. 

 
Michael Machellah akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili wa mtoto wake Everlyne.
 Waombolezaji.
 Waomboleza wakiwa katika ibada ya kuaga mwili.
 Meneja wa Bia ya Safari, Oscar Shelukindo akitoa heshima za mwisho.
 Mwakilishi wa Kampuni ya Intergrated akitoa heshima za mwisho.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuaga mwili iliyofanyika nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Mama wa marehemu akimvisha rozali.
 Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini.
 Mwili wa marehemu ukiwekwa kaburini.
 Baba na mama wakiwekla shada la maua.
 Baba wa marehemu, Michael Machellah akiweka udongo katika kaburi wakati wa mazishi.
Mama wa marehemu akiweka udongo.
 Shangazi wa marwehemu akiweka shada la mau.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania)

No comments:

Post a Comment