TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, March 11, 2015

PINDA AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI

pin1 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Kuwait nchini, Mhe Jaseem Al Najem kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) 
pin2 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jaseem Al Najem, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Katikati ni Ofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Batholomeo Jungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
pin3Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana  na balozi wa Kuwait nchini mara baada ya kufanya mazungumzo naye wakati alipokutana naye ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment