TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, November 10, 2015

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI DKT. KIJO-BISIMBA NA KUKAGUA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli kushoto akimjulia hali Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dkt. Helen Kijo-Bisimba aliyelazwa katika Hospitali ya Agha Khan mara baada ya kupata ajali mbaya ya gari katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jana.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli katikati akitoka kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika Taasisi ya Mifupa MOI kujionea halihalisi ya utoaji huduma kwa wagonjwa katika taasisi hiyo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mgonjwa aliyelazwa katika moja ya wodi za  Hospitali ya Taifa  Muhimbili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole mgonjwa katika moja ya wodi za hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye korido ya wodi ya Kibasilakukagua  kama inavyoonekana.
 . Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akawasikiliza baadhi ya kero mbalimbali kutoka kwa wananchi kama inavyoonekana.
Rais Magufuli akitoka kufanya ukaguzi katika Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

No comments:

Post a Comment