Katika mafunzo hayo ya siku mbili
yaliyoandaliwa na shirika la kimataifa la kuwainua waandishi wa habari
(INTERNEWS), Baraka alisema migogoro hiyo imekuwa ikisababisha ugomvi
kati ya wanafamilia, wanavijiji na halmashauri za maeneo husika.Aliyataja baadhi ya mambo
yanayoibua migogoro kuwa ni pamoja na kujitokeza kwa kadhia nyingi za
ardhi kuuzwa zaidi ya mara moja, na wakati mwengine viongozi wa familia
kuamua kuuza bila kushirikisha wenzao.
MKURUGENZI
Mkuu wa Shirika la INTERNEWS Tanzania Wence Mushi, akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari waliopata mafunzo juu ya rasimali za gesi, mafuta
na haki ya ardhi katika Wanyama Hotel jijini Dare es Salaam kuanzia Juni
8 hadi 9, 2016. (Picha na Salum Vuai-Maelezo, Zanzibar).
MWANASHERIA
kutoka taasisi ya HAKIARDHI jijini Dar es Salaam Mafole Baraka, akitoa
somo kuhusu sheria ya ardhi ya Tanzania kwa waandishi wa habari katika
mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa, INTERNEWS na kufanyika
Wanyama Hotel, Sinza Dar es Salaam kuanzia Juni 8 hadi 9, 2016.
MSIMAMIZI
Mkuu wa INTERNEWS Bi. Alakok Mayombo (wa pili kushoto mstari wa mbele)
na Mkurugenzi wake Wence Mushi (kushoto kwake), wakiwa katika picha ya
pamoja na waandishi walioshiriki mafyunzo yahusuyo gesi, mafuta ba haki
ya ardhi jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment