TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, June 11, 2016

WANACHAMA WA YANGA WAPIGA KURA HII LEO KUWACHAGUA VIONGOZI WAO KWA AMANI NA UTULIVU

 Wanachama wakipiga kura.
 Wanachama wakipiga kura.
 Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm nae ni Mmoja wa Wanachama wa Yanga wanaopiga kura leo kuchagua uongozi mpya wa Klabu hiyo
 Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akitumbukiza karatasi kwenye sanduku la kupigia kura, katika unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam

 Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akiandikishwa na Msimamizi wa Uchaguzi huo, unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam
 Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akifurahia jambo na Mlezi wa timu ya Yanga,Mama Shadya Karume mapema leo ndani ya ukumbi wa Diamond kabla ya uchaguzi kufanyika
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji   akisoma hotuba yake fupi kupitia simu yake ya Kiganjani mbele ya mamia ya wanachama wa Klabu hiyo ya Yanga (hawapo pichani),mapema leo mchana kabla ya uchaguzi kufanyika
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji  pichani kulia akiteta jambo na Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm 
 Baadhi ya Wanachama wakisubiri kupiga kura kuwachagua viongozi wao

No comments:

Post a Comment