Mwenyekiti
wa Jumuiya ya watu wenye Alibinism Tanzania (TAS) Nemes Temba
akizungumza na waandishi wa Habari (hawapopichani) leo jijini Dar es
Salaam kwa lengo la kujulisha umma siku ya maadhimisho ya Albino
duniani.Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa TAS Dar es Salaam, Gabriel Aluga,
Katibu Mkuu wa TAS, Musa Katimba na Mratibu kutoka asasi ya kiraia ya
BADEF.
Mwenyekiti
wa Mfuko wa Good Hope Star na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya
maadhimisho ya siku ya Albino duniani Al Shamaymaa Kwegyir akifafanua
jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa Habari (hawapopichani) leo
jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujulisha umma siku ya maadhimisho ya
Albino duniani.Kutoka kuliani Mwenyektiwa TAS Dar es Salaam, Katibu Mkuu
wa TAS, Musa Katimba (kushoto) na Mwenyekiti wa TAS Taifa Nemes Temba.
Wandishi
wa habari wakichukua matukio wakati wa mkunano baina ya TAS na
waandishi wahabari katika ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO leo
jijini Dar es Salaam.NA: Frank Shija,MAELEZO.
No comments:
Post a Comment