 Mgeni
 rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na 
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe 
kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto ni 
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah pamoja
 na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa 
(wa kwanza kulia).

(wa kwanza kulia). Mgeni
 rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na 
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akizungumza katika 
uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam.
Mgeni
 rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na 
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akizungumza katika 
uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Mkurugenzi
 Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah akizungumza 
kabla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kwa tawi la Dar es Salaam. Kampuni ya 
Auto Xpress tawi la Tanzania inafanya kazi ya ukaguzi wa magari kiufundi
 (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia kompyuta pamoja na uuzaji wa 
vifaa madhubuti kwenye magari.
Mkurugenzi
 Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah akizungumza 
kabla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kwa tawi la Dar es Salaam. Kampuni ya 
Auto Xpress tawi la Tanzania inafanya kazi ya ukaguzi wa magari kiufundi
 (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia kompyuta pamoja na uuzaji wa 
vifaa madhubuti kwenye magari. 
 
 Mgeni
 rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na 
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe 
kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto ni 
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah pamoja
 na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa 
(wa kwanza kulia).
Mgeni
 rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na 
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe 
kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto ni 
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah pamoja
 na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa 
(wa kwanza kulia). 
No comments:
Post a Comment