Naibu
Spika, Mhe Dkt. Tulia Ackson akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti
Maalum (CCM) Mhe. Amina Iddy mara baada ya kumalizika kwa kikao cha
asubuhi cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.
Mbunge
wa Chemba (CCM) (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Martha Mlata
wakifurahia jambo mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa asubuhi wa
kikao cha Bunge linaloendelea mjini Dodoma.
Wabunge
wa CCM Mhe. Asha Abdallah Juma (Viti Maalum) na Emmanuel Mwakasaka
(Tabora Mjini) wakiingia katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuanza
vipindi vya asubuhi vya Biunge hilo leo vinavyoendelea mjini Dodoma.
Nyuma ni Mbunge wa Vunjo, Mhe. James Mbatia (NCCR Mageuzi).
Wanafunzi
wa shule ya Msingi ya Kawekamo Montesori kutoka Jijini Mwanza
wakifuatilia mjadala wa vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment