TAMASHA LA VYUO VIKUU  DODOMA LAFANA 
Washindi wa kwanza katika mchezo wa soka tamasha la Vyuo
mjini Dodoma, St. Johns wakiwa na kombe lao katika picha na mgeni rasmi, Naibu Waziri wa  Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, (wapili kulia), na maafisa wa
PSPF, wakiongozwa na Afisa Masoko mwandamizi, Rahma Ngassa. (wakwanza kulia).
Tamasha hilo lilifanyika uwanja wa Jamhuri mjini humo Juni 5, 2016 
  
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment